Big Yes or Big No

Big Yes or Big No

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope.

Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema
“When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What she’s Truly Capable Of”.

KWAKO NI BIG YES AU BIG NO.
 
View attachment 3554931

Hayo mapenzi ya kuviziana viziana, mnapimana kwa uongo uongo ni upuuzi mtupu!

200.gif
 
Kama ushauri umetolewa na Black America woman , huo ushauri ni sahihi.
 
Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope.
View attachment 3554931
Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema
“When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What she’s Truly Capable Of”.

KWAKO NI BIG YES AU BIG NO.
Big No.

Ukishaona haja ya kumdanganya mtu ili umjue kama ni mzuri au mbaya, huko kudanganya kwako kumekufanya wewe uwe mbaya kabla hujamjua huyo mtu ni mzuri au mbaya.
 
Hivi mkuu , ulishawahi kuwa kwenye hali ya utani ( mizaha) na kuenjoy tu 😅
 
Back
Top Bottom