Big Up Hygeia & Erotica

Big Up Hygeia & Erotica

mi luv bana! na sipendi wanga, wakija pande zetu hebu sema nao fasta!
Umeona eh?Wanga wakiibuka tunajigeuza mavegetebo tunaendelea kujivinjari.... Erotica, Erickb52 na Ndahani watatuoneaje wivu sasa?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa naona hapo mnataka kuwa wanga sio sisi
Halafu Asprin hako kakifanyio hakata muumiza mwenzio? maana ni karefu sana aisee lol
ujue ofisini kwetu wamesema hawanielewi nacheka mwenyewe, khaaaaaa, hebu punguzeni vituko, nikiachishwa kazi utanihudumia we Erickb52?? na Asprin wako!
 
Last edited by a moderator:
Sasa nani alikudanganya my cacico anapenda vibamia?
umeonaeeeh?? my sugar! sitaki hata kuviota achilia mbali kuviona. ila kile nilichokuhadithia mwezi uleeeeee tulivyoonana, kile kibamia kiboko, chembambaaaaaa! khaaaaaaa!
 
Hahahaaaa naona hapo mnataka kuwa wanga sio sisi
Halafu Asprin hako kakifanyio hakata muumiza mwenzio? maana ni karefu sana aisee lol
mwenyewe naimudu na urefu wake, shindwaaaaaa! kha, kwani we ndotoni mbona ulikuwa unaenjoy tu.
 
umeonaeeeh?? my sugar! sitaki hata kuviota achilia mbali kuviona. ila kile nilichokuhadithia mwezi uleeeeee tulivyoonana, kile kibamia kiboko, chembambaaaaaa! khaaaaaaa!
:closed_2:
 
Yaan wewe Excellent kuchekacheka na mimi siku ile kumbe ulikuwa kwenye ukachero wa kukwapua picha yangu na Erotica kwenye albam? Niliitafuta sana nikashangaa imeenda wapi.Utakapokuja Desemba ntakuwa mwangalifu sana maana tumepiga picha nyingine moto zaidi za akshen. Naogopa ukizifuma hizo utazipeleka kwa Shigongo.
Lakini Exe, nisikushutumu sana maana ulitaka kuwadhihirishia wana chit-chat kwamba ule uzi wangu wa IMAGINATIONS umezaa matunda na kimwana Erotica amenasa. Nilipenda sana Gwangambo aone hiyo picha ingawa inaonyesha nusu ya kazi nzito tulokuwa tukifanya. Sehemu ya kichwa na mabega ndo yaonekana ila uki-imagine kinachoendelea kuanzia tumboni na kuelekea magotini, ndipo hapo Gwangambo atapiga pu****** ya kulipia.
Nawashukuru wale wote mliotutakia mema, na tunaahidi kuendeleza upendo wetu milele.
afroDenz mamie, tunaomba utupambe!
HYGEIA siyo ukachero wala usijali,nilipoona picha nilishangaa sikuamini ndo nikakumbuka ule uzi wa IMAGINATION,nikawa najiuliza imekwaje wakati mi nafahamu kuwa ni utamu,kumbe wenzetu mlikuwa mnamaanisha.
December nikija nitaiba tu we huwezi kunifichia bhana think twice.....ila ndo hivo what i'm proud ndege mjanja Erotica kanasa tunduni.
 
Last edited by a moderator:
Huyo Excellent inabidi asamehewe tu caramel flavoured Hygie, kafanya mambo makubwa na

ya ukweee hadi Gwangambo na kundi lake wamekimbia wenyewe! hata mm nashkuru

zile zengine umezificha, hapa itakuwa balaa zikiletwa jf. mwaaaaaaaaah papito.
We Erotica mi sikujua yatatokea haya bhana
 
Last edited by a moderator:
HYGEIA siyo ukachero wala usijali,nilipoona picha nilishangaa sikuamini ndo nikakumbuka ule uzi wa IMAGINATION,nikawa najiuliza imekwaje wakati mi nafahamu kuwa ni utamu,kumbe wenzetu mlikuwa mnamaanisha.
December nikija nitaiba tu we huwezi kunifichia bhana think twice.....ila ndo hivo what i'm proud ndege mjanja Erotica kanasa tunduni.

Najua kweli utakuja tena kabla ya Desemba kwa sababu ya harusi ya yule dada yetu. Lakini Excellent asitokee mdudu kichwani mwako akakutuma uchukue mojawapo ya picha za Erotica zilizobaki kwenye albamu halafu uzitume hapa JF. Yeeee woomi! Server za JF zitaungua!! na memba wa JF watavunja PC zao na RPC Kilimanjaro atakuja nyumbani kwangu kuni-arrest!
 
Last edited by a moderator:
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa asprin bana...siku ukifa nitalia kweli aisee
What an amazing joke of nature depicting Asprin and Smile. Eti Smile, hii mboga bwana na bibi uliinunua sokoni au uliipanda bustanini mwako? Kama ni bustanini mwako, basi mlikuwa mna- do bustanini wakati ikiota.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom