platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,539
acha uoga wewe
Ulishaona kiuno kimewekwa POP? We chezea ero...alishawahi kutegua m...b ya b/f ,shtuka!!!!!!!!!!!!
acha uoga wewe
Nakusalimu mpendwa mama wa ubatizo!
Erotica, sijakimbia ila bado nasubiri video, hukuniahidi picha mnato.
Ulishaona kiuno kimewekwa POP? We chezea ero...alishawahi kutegua m...b ya b/f ,shtuka!!!!!!!!!!!!
Wembamba wa reli treni inapita juu na shehena ya mizigo.usinichuuze bure!
Where do you think I should come? In the middle of the city? with no plaque to tell "This is Erotica, the expected mother of twins"?!!!
kirusha roho, leo nataka tuweke things clear, niambie papito, i know u like me but wat is it about me
ambacho hukuweka on guide sana? is it because najihusisha na wanaume wengi or is it my
kupenda kangu ngono? please darling Ndahani oblige Ero by explainin that. mwaaaaaaah.
Why should I take as a guide something a I don't know? Erotica is an Enigma to me...simjui, sijui ukweli ni kiasi gani kwenye hizi porojo zake, sijui anafananeje..yaani siwezi kumchukia wala kumpenda mtu nisiyemjua. What if Eros, is a man na madevu kibao kidevuni? Si ntakimbia nianguke
Halafu mbona maneno mengi sana mdomoni? na wewe ni mzaramo kama wanaseregere?
kwa hio wasi wasi wako mkubwa ni kama am a man? do u trust you instict?
instict zako zinakuambia nini? kwa hio mm ninavokupenda na hali sikufahamu
unaniweka katika kundi gani? mpuuz, malaya, mjinga or???????
makubwa!! kukutaja tu nimekuw mzaramo? te te te.
lkn nishawahi sema mie ni mchanganyiko wa makabila.
Siwezi kukuweka kwenye kundi lolote mpaka nikufahamu vizuri...mtandaoni kuna kila aina ya zaga zaga. Unaweza ukafikiri unaongea na mtu wa aina hii kumbe ni wa aina ileee...unaweza unakafikiri unaongea na mtu humjui kumbe anakujua fika...so...njoo mtaani tufahamiane