Big Up Hygeia & Erotica

Big Up Hygeia & Erotica

Erotica kwa nini unaitaabisha nafsi yako mamito? Come this way uconfess kiha uanze upya lifevis too short bana! Kha

Mchungaji Kaizer life maybe too short but some things ar worth it.

ila ushauri wako nimeupenda, kama mtongozo nimefanya wa kutosha kwa Ndahani.

I have to move on na lemme kuja huko niungame na nifungue a new page.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. hii ya uchaga imekaa sawa, me like.

Nimehisi unapenda nini? sisi kina masawe tuna machale mpaka makalioni, teh teh teh. Nitumie profile niwatumie vijana waanze kuifanyia uchambuzi.
 
Mchungaji Kaizer life maybe too short but some things ar worth it.

ila ushauri wako nimeupenda, kama mtongozo nimefanya wa kutosha kwa Ndahani.

I have to move on na lemme kuja huko niungame na nifungue a new page.

And thats a fair evaluatiob Erotica, so u know what to do! Lol
 
Last edited by a moderator:
Nimehisi unapenda nini? sisi kina masawe tuna machale mpaka makalioni, teh teh teh. Nitumie profile niwatumie vijana waanze kuifanyia uchambuzi.

hapana Ndahani, hio itakuwa ni insult kwangu. hunitaki inatosha na i respect that.

huna haja ya kuenda nitatutia wengine, sina papara hasa na mimba hii, wacha nijikite kwa wale

wenye interest kama HYGEIA, Paxman na klorokwini labda nitapata uhauheni.

Hasa hivi ambavo mchungaji Kaizer kaahidi kuniungamisha nikwa na mpenzi Kaunga pembeni with me daima.
 
Ntake radhi Erotica...mi najipendekeza hivi ndo unaanza kunikimbia. Utanikumbuka miye
 
acha uwongo haukupendezi papito. alafu nani kasema nitakusahau?

Yaani nimejichekesha wee...mara njoo hapa mara njoo kule hata kusema asante nakuja hakuna. Duuh! Inawezekana ukanisahau...mapacha wakitokea wakichina? Si ndo itakuwa visa ya kuhamia guagzhooo
 
hivi ww mwanaume mbona una roho mbaya hivo? wachagga wenzio hawako hivo papito.

hunitaki but you don't want to let go? mambo ya wapi hayao? hebu nitendee haki sio fresh hivo kirusha roho.
 
Nikutendee haki mara ngapi? haki nshakutendea...tatizo husomeki kabisaa...halafu nani kakwambia mi mchaga? Si unajua top seat imekaliwa na mzaramo...chezea wazaramo wewe!!
 
Usihofu tell me what do you want? Nimechoka kusoma hizi siasa. nataka kuona maandishi mengine tofauti
 
Nikutendee haki mara ngapi? haki nshakutendea...tatizo husomeki kabisaa...halafu nani kakwambia mi mchaga? Si unajua top seat imekaliwa na mzaramo...chezea wazaramo wewe!!

Mimi na wewe nani hasomeki? hebu jisome hapo juu then usome hapa chini

na akina masswe ni nani? alafu kwahio saiz uko radhi uwe na Ero?

sbb toka mwanzo hilo ndio ugonvi wetu mm na ww.

Nimehisi unapenda nini? sisi kina masawe tuna machale mpaka makalioni, teh teh teh. Nitumie profile niwatumie vijana waanze kuifanyia uchambuzi.
 
Mimi na wewe nani hasomeki? hebu jisome hapo juu then usome hapa chini

na akina masswe ni nani? alafu kwahio saiz uko radhi uwe na Ero?

sbb toka mwanzo hilo ndio ugonvi wetu mm na ww.

Tuko pamoja kuanzia jana asubuhi don't worry...inaelekea hii computer yangu ndio inajichanganya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom