Nafikiri Mume wake lazima awe Mzungu au Mzungu design kwa kutawaliwa na FF....
Nampa HONGERA kwa kujipatia kakoloni kake kama Tanganyika ilivyo kwa Wazanzibar (Wazenji wanadai hivyo).
Miaka 30 si nyingi sana......ohhhhh, eti nini? Miaka 30 ndani ya ndoa? Khaaaa!!! Miaka yote hiyo mwanamume mmoja?
Siamini, kama wote, siamini Yeye na Yeyeeee..... Ila atakuwa mpenzi wa nyimbo za Ludacris.....
Utani Pembeni: Hongera sana mamaa FF. Kumbe ni mama na heshima yako? Samahani kwa Taarabu zote nilizokurushia. Heshima kwa mbele kuanzia leo. Ila sasa na wewe bana, kuwa basi kama mama mwenye ndoa ya miaka 30 basi. Hongera sana sana na tunasubiri miaka 50 ya ndoa yenu.
........
:A S-rose:.....HAPPY 30TH ANNIVERSARY DEAR...:A S-rose:
....
aaaiiseee... inaruhusiwa kuhesabia na first marriage??
Hapo umeniacha kwenye kona. Ukihesabia na yeye vipi?
Mimi nampongeza huyo mwanaume,kwani anaonyesha ni mvumilivu kama mimi.
Na mimi nina mwanamke mtata kama ff.
By the way nawapongeza wote,mimi nina 9.bado 21 nikukamate ff.
Hongera kwa kujipongeza mwenyewe, hivi ndio vituko vinavyonifanya niipende JF.
Faiza Foxy... a Complicated, Strong, Highly opinionated, Abundantly knowledged,
Controversial, Impressive, Resilient (as per MTM) Lady at JF if any....
It seems you are not only aggressive at JF - BUT at life it self and Success in
Marriage institution as a whole... THUS 30 Years of it!!!
Ni wanawake wachache mno... mno... tunaweza tunza ndoa zetu na kufikisha
umri mkubwa... Kufikisha 30 years of your marriage today na gozi
lako hilo hilo unastahili Pongezi Dear.....
Hongera saaana.
:A S-rose:.....HAPPY 30TH ANNIVERSARY DEAR...:A S-rose:
P.S. Naombe ushee siri ya mafanikio ya kuweza fika hapo....
Hongera kwa kujipongeza mwenyewe, hivi ndio vituko vinavyonifanya niipende JF.
asha unamfuatilia xana wow! Wow! Hii inamaana wewe na yeye ndo yule yule ambae walikua wanasema ni mtu mmoja??
Hongera kwa kujipongeza mwenyewe, hivi ndio vituko vinavyonifanya niipende JF.