Bokoboko la mbuzi, samli ya Ng'ombe, sukari ya Kilombero.
Mimi nakula siku moja moja si unajua tena naogopa kitambi! Mimi uji wa shulba naupenda sana
Proper Mandi haitii kitambi bwanaaa, haipikwi na mafuta kabisa, its sort of steamed. Si unaona wachina kwa steamed rice wanavyokuwa hawana vitambi?