Our destin territory ni kupigana miti ktk hili .
Hivyo vya mimba then kids majaaliwa!
ata mi naona shem, utamu kwanza mtoto majaaliwa lol!
Ko tuzaliane....!mpango umefanya nini?
usifanye hivyo bi dada tunahitaji utuunge mkono kwenye hili.Napita tu jameni....
Judgement, sasa tapitaje kimya...? dada ladydoctor lazima ajue nimepita akipata shida aniite haraka.....kabanga anga kama hizi , ambapo Dadaako anajinafasi kuongelea "mavitu maswit" wewe unatakiwa upite kulee! Tena kwa mbaaaali .
Utamu wa dadaako haukuhusu !
Judgement, sasa tapitaje kimya...? dada ladydoctor lazima ajue nimepita akipata shida aniite haraka.....
na unafunga magoli mengi