Big LIBOLO

Big LIBOLO

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,007
Reaction score
168,594
544643_10151494147627165_169110287_n.jpg
 
Napendekeza ile timu ikija tena tuiite majina yake ya mwanzo: Recreativo Sporting. Inatosha, ili tulinde maadili yetu, maana wengine ndio wamepata sasa pa kutolea uchafu wao.
 
Usinitolee unabii mbaya aiseee majany hatakufa bali ataishi ili ayasimulie matendo makuu ya Mungu
Zion Daughter tatizo la majany ni kwamba kaingiliwa na roho chafu ya Yuda Eskarioti. Tuikemee kwa kufunga na kukesha, kwa kusifu, kuabudu na kushukuru kwa kufungulia huyu chotara wa kondoo na mbuzi majany
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Azam na SSC ni mtu na dadaye....halafu Yanga ni a BIG LI....LO????
 
Bujibuji libolo kilefu chake nini au maana yake nini?
 
Last edited by a moderator:
Zion Daughter tatizo la majany ni kwamba kaingiliwa na roho chafu ya Yuda Eskarioti. Tuikemee kwa kufunga na kukesha, kwa kusifu, kuabudu na kushukuru kwa kufungulia huyu chotara wa kondoo na mbuzi majany

Afu we mchungaji napata mashaka na huo ukasisi wako...mbona una maneno ya chinichini sana...au huu uchumba wangu na Zion Daughter umekuchanganya sana.....je ikifungwa ndoa si ndo utachizi wewe......My sweetheart Zion Daughter ng'ombe wameingia na treni jana jioni.....stay tuned...
 
majany huna shukrani wewe. Nimekupa kondooo mnono na baraka tele lakini hutosheki.
Ngoja nikupe na li Nazjaz kabisa labda moyo wako utatulia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom