Big LIBOLO

Big LIBOLO

bujibuji unabubujika mwenyewe ole wako wakutupie makwenzi kwa bluetooth wenye timu yao
 
Sioni kosa la Bujibuji, yeye ametujuza yaliyojiri huko uwanja wa Taifa..! Isitoshe LIBOLO liliikandamiza Simba ndani kwake..!

Simba yafanyziwa kitu mbaya na Libolo mbele ya mashabaki wake! Yapigwa bao moja yasubiriwa tena na Libolo Angola!
 
Simba yafanyziwa kitu mbaya na Libolo mbele ya mashabaki wake! Yapigwa bao moja yasubiriwa tena na Libolo Angola!
Aisee..! Sasa hao simba siwatachanwa tiGo na LIBOLO la Angola? Tena hapa nyumbali kuna LIBOLO la bongo Yanga linaongoza ligi..! Ooohh poor Rage..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom