Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Tanzania in nomination this week wakuu,huu ni mkosi au?
 
Demo ya nomination inaonesha kuwa Tz (Hilda & Julio) ndo wako kwenye kikaango!!

2nd nomination ni Zimbabwe (Maneta and Tecla)!!
 
Bongo na zimbabwe mmja kutoka week hii,tumekwisha wakuu...
 
Hii nomination haiwezi kuwa ya kweli....Kuna kitu anawataka kufanya hapa!!

Babu DC!!
 
Demo ya nomination inaonesha kuwa Tz (Hilda & Julio) ndo wako kwenye kikaango!!

2nd nomination ni Zimbabwe (Maneta and Tecla)!!

Siyo demo mkuu,wabongo wamekalia kuti kavu kuanzia siku ya kwanza kabisa
 
na wasiwasi na hicho kimtambo chao,kwanini bongo wakuu....
 
Bongo na zimbabwe mmja kutoka week hii,tumekwisha wakuu...

Siamini kama ni nomination za kweli....

Tusubiri tuone.....Hata website yao haiko hewani!!

Babu DC!!
 
Siyo demo mkuu,wabongo wamekalia kuti kavu kuanzia siku ya kwanza kabisa

Believe my words...Haiwezekani ukaanza na nomination wakati watu hata hawajajulikana....

That's one of the twists and drama in the BBA....

Mark my words guys!!

Babu DC!!
 
Kwani miaka mingine inakuwaje? huwa kunakuwa na nomination ya possible eviction siku hiyo hiyo ya kwanza?
 
Kwani miaka mingine inakuwaje? huwa kunakuwa na nomination ya possible eviction siku hiyo hiyo ya kwanza?

Hapana,

Nominations huanza after week 1 or ila kwa BBA lolote linaweza kubuniwa ila siamini kwani hii itakuwa inaharibu mchezo!!
 
Kwani miaka mingine inakuwaje? huwa kunakuwa na nomination ya possible eviction siku hiyo hiyo ya kwanza?
huwa wanafake then ikifika eviction day wanatangaza hakuna house mate yeyote anayetoka..
 
na iwe ivyo mkuu

Wewe subiri tu,

Wakishaweka kila kitu kwenye website basi tutajua..

Ila kwa sasa siwezi kuamini kwamba waandaaji wameamuwa kuwa wapuuzi kiasi hicho!!

Babu DC!!
 
huwa wanafake then ikifika eviction day wanatangaza hakuna house mate yeyote anayetoka..

Huwa faking inafanyika kwa Housemates ila viewers mnaelezwa kabisa...Nadhani wataeleza kila kitu kwenye web au daily show!
 
wabongo wameshawekwa kwenye eviction list ..wtf?

Cool down mate wake Mwali,

Ndo mchezo wenyewe wa BBA....Hapa hutashangaa wakija na nyumba ya pembeni kama show zilizotangulia!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…