vp Tz nani ametuwakilisha mwaka huu?
Mumeo ana hii taarifa kweli?mamaangu weeeeeeeeeeee nahisi cjui maana halisi ya uhandsome! yaani mimi mwanaume mweupe ni big NO! Nafagilia kishenzi kitu black, black kama mume wa kimora lee hounsou, nikimuonaga huwa vinyweleo vinasimama hewani! nways kila mtu na taste yake!
Ha ha ha ha ha,Mkuu kwani lazima uandike kidhunguuu?naona lugha gongana hapa!Tz kaingia Hilda and Julio bt hilda z on prohibition nw, just imagn!
Live Eviction shoe imeanza.
diamond anapafomu.