Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Uganda wanatupigiaga kura always ila Rwanda wana mambo ya ajabu
This wiki atujapata kura ya uganda,tayo atasumbua sana
Rwanda ni wageni kwenye hii game.. subiri next year wakienda tutawatia akili. Yaani wameacha hata kumpigia Ellah wa Uganda wao wameenda naija.. sasa subiri next BBA wataona kama watapata kura ya EA. Sina shida na Uganda they always have our back