Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Huyu dogo Idris anachomfanyia Ellah waganda na rwanda hawatampigia kura... anaacha kustick na ellah angalau aoneshe anamjali wa East mwenzake ye anampotezea at last waganda wanablame anamwaribia ellah game yake. Huyu dogo anshindwa kutumia akili kabisa, hawezi pata vote ya Botswana cuz there is no way Bots wasiingie final.. Aachane na Goitse kwa sasa aoneshe anamcare ellah for East Africa sake.. Akiendelea kujipelekapeleka kwa goitse huku anamuignore ellah ataambulia kura ya Tz na Kenya tu

I think idris will win the battle
 
I think idris will win the battle

akitaka kushinda kwa sasa aachane na wale wasichana wote wawili aplay game ya kawaida.. Wabaya wake (fans) mostly wa naija wanatumia hiyo chance kama njia ya kumshambulia aonekane ni mbaya, and trust me tayari Uganda washasema hawatampigia kura
 
Yes, ila ella anamkubal sana jamaa from within, sijui mwisho itakuwaje, ila jamaa he knows how to play game, he is smart
 
Baad ya idris kumu ignore ellah mm nshakata tamaa ya yy kushinda. Ila feza ndo kaleta yote haya. Idris alisha amua kumuacha goitse for good lkn feza kajitahdi kuwaunganisha kumbe ndo anamharibia.
 
Baad ya idris kumu ignore ellah mm nshakata tamaa ya yy kushinda. Ila feza ndo kaleta yote haya. Idris alisha amua kumuacha goitse for good lkn feza kajitahdi kuwaunganisha kumbe ndo anamharibia.

Na week hii idriss na Ella wako kwenye eviction macky 2 kam swap idriss awe safe Rwanda watampigia heal sasa Kenya sijui
 
Vedio exclusive za hawa jamaa.... Wakikoga na vingine kibaoo! Tembelea insta @ bbahotshots_exclusive
 
Na watu washaanza kum blame how comes ana play with two women in the house.

Ange stick na Ella kwa sasa

Itakua ndo tabia Ya Idris labda Hata akiwa nje Ya house. Au hao madada ndo wanajigonga na ndo zile za kung'ang'ania bwana hata kama hataki
 
Back
Top Bottom