Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

motsepe jana nimeangalia after party ilikua balaa maana huku Goitse huku Ellah.. sasa Idris anakua hajielewi

Macky2 naona kachanganyikiwa na Feza kamsahau hadi dem wake

Macky 2 anapenda mademu weupe ndo mana kwa feza kachizika
 
Last edited by a moderator:
Macky 2 anapenda mademu weupe ndo mana kwa feza kachizika

nakubaliana na wewe somehow. maana mack 2 na yeye mweusi kama kambale na feza ndio anamtumatuma saa 7 usiku feza oooh I want chicken mchizi kaacha kitanda faster na kwenda jikoni kuleta nyama.....mapenzi niue
 
Macky 2 kazimika sana kwa feza kachanganyikiwa hajielewa hafu Goitse sa ivi anajipitisha kwa Idriss ananibore mwanzoni alikua anajifanya hamu mind
 
Macky 2 kazimika sana kwa feza kachanganyikiwa hajielewa hafu Goitse sa ivi anajipitisha kwa Idriss ananibore mwanzoni alikua anajifanya hamu mind

nani kamuudhi lucklay namuona analia hapa jamani naona its nat a game kaumia sana
 
jumba limepwayaaa halina mvuto tena.i will miss Otono kwa kweli he was extremely emotional in plank
 
Hivi huyu dem wa Idrisa analia nini?

Wewe umeniwahi..

Natamani sana kujua kinachomlizaa. Nimesikilizaa wee bado simsomiiii

Idris anampenda sn huyu demu bila kuzingatia yote yanayotokea he is still their for her..
 
Huyu dogo Idris anachomfanyia Ellah waganda na rwanda hawatampigia kura... anaacha kustick na ellah angalau aoneshe anamjali wa East mwenzake ye anampotezea at last waganda wanablame anamwaribia ellah game yake. Huyu dogo anshindwa kutumia akili kabisa, hawezi pata vote ya Botswana cuz there is no way Bots wasiingie final.. Aachane na Goitse kwa sasa aoneshe anamcare ellah for East Africa sake.. Akiendelea kujipelekapeleka kwa goitse huku anamuignore ellah ataambulia kura ya Tz na Kenya tu
 
Back
Top Bottom