Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Sikupenda kabisa Samantha alivyotoka........nilitaka atoke Goitse.......ila ndio hivyo........ngoja tuone hao wanaoingizwa kesho na Denzel yupo sijui itakuwaje........

Mie mwenyewe nimesikitika pale ilibidi Goitse na Mr manamba watoke.tungoje tuone who will be up for eviction
 
feza kamuweka chini idriss na goitse kama dkk45 hivi anamsaidia dogo kuweka issue clear nadhani kuanzia kesho we might see lovey dovey between idriss and goitse again
 
feza kamuweka chini idriss na goitse kama dkk45 hivi anamsaidia dogo kuweka issue clear nadhani kuanzia kesho we might see lovey dovey between idriss and goitse again

amefanya la maana but ella anaonekana kumzimikia dogo idriss
 
feza kamuweka chini idriss na goitse kama dkk45 hivi anamsaidia dogo kuweka issue clear nadhani kuanzia kesho we might see lovey dovey between idriss and goitse again

Yani ni afadhali angeendelea na Ellah tu. Hapo tungekuwa na uhakika na kura ya Ug na Ghana.. Kumbwaga Ellah alafu kumrudia Goitse kutatunyima kura ya Ug. Na kura ya Bots hatuwezi kuipata
 
uti in the diary room jamaa anasema so far idriss is the strong contander amejaribu kumvuruga kichwa but our boy is talented na yuko piece na kila mtu.......lets keep supporting our boy
 
uti in the diary room jamaa anasema so far idriss is the strong contander amejaribu kumvuruga kichwa but our boy is talented na yuko piece na kila mtu.......lets keep supporting our boy

kuna watu wamevurugwa mbayaaaa.butterfly ,sheila,Tayo
 
ile ya tayo jana ilikuwa mbaya miss p alitulia asubuhi hii idriss kataka kuanzisha mzozo mwingine wa kijinga yeye butterfly na ella

Ila ile ya Tayo jana inaweza muharibia huko mbeleni.miss P alishakamilisha kazi yake pale.mie Leonel aliniacha hoi alivyokuwa anahangaika na macky2 alafu macky2 akamkazia
 
Ila ile ya Tayo jana inaweza muharibia huko mbeleni.miss P alishakamilisha kazi yake pale.mie Leonel aliniacha hoi alivyokuwa anahangaika na macky2 alafu macky2 akamkazia

mkuu kama ningekuwa mack 2 labda ngumi ingetoka jamaa alikuwa msumbufu mbaya....fu#ck u mack and 2 I want u to look at that camera and do shout out because ur rapper
 
nimechungulia kuna mademu wa wili na mshikaji mmoja wanajidai wanaimba wimbo sijui nini zambia huku mchizi anamchua demu kalegea hapa kama dudu halijaingia sijui
 
nimechungulia kuna mademu wa wili na mshikaji mmoja wanajidai wanaimba wimbo sijui nini zambia huku mchizi anamchua demu kalegea hapa kama dudu halijaingia sijui

Demu gani na anachuliwa na nani,?,
 
nini kimetokea jana kati ya Ella na Idriss

nothing happened yule house met fake toka zimbabwe vimbai alikuwa na some issues na butterfly na ella then idriss hakwenda kuwasapoti so ella na butterfly walimchukia idriss sababu hakuwapa now wanadai he is not royal to them...coz baada ya ile bifu idriss alionekana akitia story na yule demu vimbai na huo ulikuwa kama mkuki kwa ella na butterfly

feza anaendelea vizuri she is playing love game with mack 2 zambia mchizi kaspend siku nzima jana next to feza baada ya party alikuwa kashare kitanda na feza mpaka saa 7 usiku so sijui kama alikuwa vidole vyake kwa Dada yetu coz feza alikuwa anaenjoy sana company ya mchizi
our is kinda loosing but huo mtazamo wangu hawa malaya 2 wanamchanganya ella alikuwa anamlilia idriss wakati mchizi kawekeza mapenzi yake wrong side GOITSE huyu chick alikuwa busy anashikwashikwa na fake house met luclay from south africa so she is not good for idriss
 
motsepe jana nimeangalia after party ilikua balaa maana huku Goitse huku Ellah.. sasa Idris anakua hajielewi

Macky2 naona kachanganyikiwa na Feza kamsahau hadi dem wake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom