Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Kuna jamaa anajiita tayo.. i think hii game atashinda maana wanaigeria na south A wanamfatilia huyo Kila comment inamuhusu yeye Shit.. as you know wanaija na wa south wako wengi na wako vizuri kwenye upigaji kura na kusapotiana ..ila idris watamuelewa tu..

Ova.
 
Naona Idrisa amekata tamaa! Baada Ya hao wapya kutajwa mweh $$$
 
Poor Samantha

Halafu biggie is not fair inakuwaje Macky awin eti funniest HM haiwezekan

Sikupenda kabisa Samantha alivyotoka........nilitaka atoke Goitse.......ila ndio hivyo........ngoja tuone hao wanaoingizwa kesho na Denzel yupo sijui itakuwaje........
 
Kuna jamaa anajiita tayo.. i think hii game atashinda maana wanaigeria na south A wanamfatilia huyo Kila comment inamuhusu yeye Shit.. as you know wanaija na wa south wako wengi na wako vizuri kwenye upigaji kura na kusapotiana ..ila idris watamuelewa tu..

Ova.

Zile huwa ni comment tu south Africa name Nigeria watu wanatumaga sana comment lakini hazi determine mshindi just comment
 
Zile huwa ni comment tu south Africa name Nigeria watu wanatumaga sana comment lakini hazi determine mshindi just comment

ok ngoja tuone.. namuona feza kessy mjengoni.. now bba itakua imechamgamka
 
Wameingizwa wale wa zamani na feza yumo' Uti Nigeria' Natasha Malawi. Na wengine kibaoooo

Dont tell me..
Na wenyewe wanagombea ushindi huo huo..au kind of fake kama ya kipindi kile?
 
The Hotshots were left reeling after Big Brother’s announcement that they would be competing against ten former Big Brother Africa housemates. The game has just reached a whole new level, and the housemates face tough competition from Miss P, Elikem, Natasha, Leonel, Uti, Luclay, Feza, Denzel, Sulu and Vimbai.

Now is the time for them to show Africa what they’re really made of and convince their fans to let them stay. As a result of this twist, there will be no nominations this week, with the Hotshots thinking they’re all up for eviction.

Of course, we all know that it’s just a big prank on Biggie’s part, but the housemates don't and it will be intriguing to see how they handle it and how they act towards each other with a new twist in the game. Will the Hotshots form a united front in a bid to keep themselves in the game or will they gravitate towards their fellow countrymen?

The ex-housemates will enter the house on Monday night, but before that the Hotshots will have to cope with the absence of Samantha and Mr. 265 and compete for Head of House. One thing is for sure: this will be an exciting and unpredictable week. We might even see the Hotshots reveal a different side of their personalities. Tune in on Monday at 20:30 CAT to watch the former Big Brother Africa housemates enter the game.
 
Back
Top Bottom