Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Huyu shemeji yetu hizo nywele hapadilishi. Ana kipara nini?
 
Laveda umeeondoka ukiheshimika.unarudi ukidharaulika mxuuuuu.

ataheshimika tu, watu watasahau. wameshasahau ya bhoke itakuwa hii?
Sioni big brother inafundisha nini kwenye maadili ya kiafrika.
 
jamaa anapendwa balaa
Frank alitoa comment sikuipenda... anasema kunawatu wakitoa komenti/neno fulani kama ni la kipuuzi....huwezi kushangaa lakini wengine lazima ushangae. Akamtolea mfano Idris kuwa akitoa neno lakipuuzi huwezi kushangaa...maana muda wote anakaa kijoki joki (mimi niliona kama amemdaharau).

I like Idris hasa pale alivokasirishwa na tukio la Lavida.
 
Gayz lets vote for team A pls. East africa wako. wengi pale,tukishindwa na team B bas kwenye eviction itakuwa balaa.
 
[QUOTE

pamoja sana mkuu...m worrying sababu idriss kawa tishio flani for jj nhlanhla tayo na yule mmbea kama jike 265
 
Wanaotaka kuona video za hawa washiriki wakikoga na mengine meengi! Nina page Insta ..tembelea ujionee,, @ bbahotshots_exclusive
 
Back
Top Bottom