Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

True dat,leo asbh uliona jinsi sheila na mr 265 walivyombana kuwa wakat wa michezo yao ilopita alihisi idris alianza kufil smthin kwa sheila hahaaa jamaa akshangaaa mwisho wa siku wakamgeukia sheila kuwa yeye ndio alishaanza kumfil idris alibanwa mpaka akata kukasirika,mr 265 ni m'mbea balaa

Mr 265 ni mbea issue ya Laveda ilikua haijulikani yeye ndo akaisambaza kwa wengine kazidi umbea jpili atoke tu ila am happy kwenye diary sessesion Idris kasema anaachana na Goitse ana move on
 
Bora Idrisa alivomuacha Goitse.....That day alinikera yume mwanamkke

Kimtindo kama Idris hataki tena issue za mapenzi mjengoni, kwani licha ya Samantha kujilengesha kwake lakini anamfanya mshikaji tu.
Nadhani amejua kwamba masuala ya mapenzi yanaweza kumharibia game yake au kumkosanisha na housemates wengine.
Kwani alipozinguana na Goitse, housemates waligawanyika pande mbili, wengine kwake na wengine kwa Goitse, hasa wale wa kiume.
Ova
 
Hivi Huyu Ella jana kaliwa papuchi?
Nilisizia na comments zinazopita zanipa wakati mgumu
 
Ndiyo maana leo wameamka wanakumbatiaaaaana!
Duh!!
Aandae verses za kuomba msamaha kwa wife sasa.
 
Wakuu ni Big Bro gani mnaangalia?? Mbona Kacey Moore na Ellah hawakufanya chochote last night?? Acheni uzushi bana
 
leo angetoka kacey moore mzee wa ndoa ningefurahi sana; ili amfuate best yake melvin alusa
 
Leo ngoja tuone nani anafuata..........
 
Wakuu ni Big Bro gani mnaangalia?? Mbona Kacey Moore na Ellah hawakufanya chochote last night?? Acheni uzushi bana

Its rumors hakuna aliye na uhakika na hilo ila kama uliangalia leo asubuhi screen comments zilikuwa zinahusu wao wawili kuhusu hilo
 
Its rumors hakuna aliye na uhakika na hilo ila kama uliangalia leo asubuhi screen comments zilikuwa zinahusu wao wawili kuhusu hilo

hawakufanya chochote mkuu, bahati nzuri jana kuna kazi nilikua nafanya mpaka saa 11 na nilikua naangalia sikuona hicho kitu zaidi ya kulala pamoja tu
 
Back
Top Bottom