Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Hujanisaidia. Soma tena kama hujanielewa tulia tu ulichojibu hakiendani na nilichoandikaUelewa mdogo wa wabongo, kitu hakikuhusu achana nacho, nenda kaswali, hii show kwa taarifa yenu wabongo inaangaliwa na watu kibao vyumbani na inapendwa balaa Serikali bungeni walishawahi kupiga marufuku show hii na kutoa matamko mengi ya kihafidhina NA WAKACHEMSHA. wanamegwa w.a.k.e zenu seuze dada yetu,