Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Resa......out.......
 
Hii bigbrother naona imepoa sana..........
 
Mira out.......Mozambique hili game sio lao.........hawajui.........
 
Wanakuwakilisha wewe mimi usinijumuishe kwenye huo upumbavu.

Na Mimi hawajawahi kuniwakilisha, hawaniwakilishi na hawatakaa waniwakilishe milele. Na hata kuangalia siangalii.
 

Uchafu mtupu unafanyika huko b broo
 
Nominated HH

Esther (UG), Frankie (Rwanda), JJ (Zimbabwe), Lavida (Tz), Lilian (Nigeria), Sabina (Kenya), Tayo (Nigeria) and Ellah (Uganda).

Ellha kawekwa na mkuu wa nyumba.

Hapa mtego mkubwa uko kwa Nigeria na Uganda ambazo washiriki wake wote wameingizwa kwenye kikaango!

cc Preta
 
Last edited by a moderator:

Laveda tu awe safe naijeria washiriki wote wapo kwenye eviction na Uganda
 
Last edited by a moderator:
Hata mkaka wa Mozambique hayuko active mira yale ma kiss na upuuzi alio ufanya umemfanya atoke mapema

Huyu wa Mozambique (Trezegah) hataweza kufika mbali..

Ila kwa hawaliowekwa kwenye nomination, Frankie na Esther wako kwenye hatari zaidi!
 
Mie nahisi atatoka esther na jj

Inawezekana ila huyu jamaa wa Rwanda anaonekana kama vile hayuko kwenye mchezo, kitu ambacho kitamfanya aondoke mapema! Ila JJ naye amekera watu wengi hasa hasa kwa jinsi ambavyo aliwafanya wenzake wakashindwa performance ya Jmosi!
 
Yule kijana anaetuwakilisha watz BBA jana alipewa za uso na binti mzuri, makini na mstaarabu Goitse tokea botwana.. Alimpa makavu Idris.

Th girl is not into Idris tho Idris anaweza kufanya juhudi akampata coz demu akimzingua sana Idris akubali pia kukosa vote coz sie watazamaji tunapenda kuona drama inaendelea.

Ninavyomuona Idris atarudi kujiweka kwa Samantha binti wa kwazulu natali, ana big boooty. Masha allah.

Ova
 
Kuna BIG BROTHER AFRICA 2014 special thread na ni sticky hii habari ungeiweka kule...

Vituko vya mule kila mtu akisema aanzishe thread si itakua balaa
 

mkuu mbn sikuoni jukwaani kwetu mpaka nikahisi umebadili jina vipi umehamia huku nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…