Hakika umenena haswaaaah, na ndo ukweli wenyewe.Ni wivuu tu wa kijingaaa...na ukiona umeolewaa halafu mama mkwe akakupendaa au ndungu wa mume wakakupenda..jua tu huyo mtoto wao ni kimeo..kichomi..full stop.
Au ni wee ndo unaejuzungumzia?Kuna mtu halewi sio mzinzi kiufupi hana uchafu Wala mambo ya kipuuziiiiiii ila mkeo mamaake na ndugu zake wote wanampenda mke wake kweli kweli sasa nayo vipi?
Ila yupo wa kiume pekeake au ndo sababu!?
😅😅😅😅Au ni wee ndo unaejuzungumzia?
Kwa hiyo wao ndio wanapaswa kutafuta mke au?Au mara nyingi mchumba anaweza kupatikana lakini ndugu wasimpende, kama ndugu yao alivyompenda mpaka akakubali kufunga ndoa naye. Yaani mara nyingi kukosea kuoa ndiyo kunaanzia hapo kwa ujumla.
Kwa hiyo ili kuleta positivity nimwache huyu mwanamke?Mimi suala la kuoa naona bado ni jambo la muhimu sana, kwa sababu bila mwanamke maisha ya mwanaume kama yanakuwa hayana maana vizuri. Lakini nawaza kuja kuoa halafu changamoto zisizo na msingi kama hizi zikawa zinaendelea katika familia yangu. Negativity mbaya sana inaharibu kwa utaratibu mzima wa maisha kwa ujumla.
Ni wivuu tu wa kijingaaa...na ukiona umeolewaa halafu mama mkwe akakupendaa au ndungu wa mume wakakupenda..jua tu huyo mtoto wao ni kimeo..kichomi..full stop.
Sina maana hiyo mkuu, wao ndiyo lakini vitu kama hivi hutokea, ndugu wanakwambia hawajampenda mke wako, au kwa ufasaha zaidi wanakuwa na mashaka na mke.Kwa hiyo wao ndio wanapaswa kutafuta mke au?
Hapana mzee, kiimani wanasema Mungu hakupi jaribu usiloweza kulishinda. Kama vitu hivyo vinatokea kwenye ndoa inakupasa kupambana ipasavyo kuondoa tofauti zitakazokuwepo kati ya mke wako na ndugu zako.Kwa hiyo ili kuleta positivity nimwache huyu mwanamke?
Ni wivuu tu wa kijingaaa...na ukiona umeolewaa halafu mama mkwe akakupendaa au ndungu wa mume wakakupenda..jua tu huyo mtoto wao ni kimeo..kichomi..full stop.
Mkuu mahusiano ya mkeo na ndugu zako yanajengwa na wewe mwenyewe,, inategemea na ulivo mtambulisha kwenu na unavyo mzungumzia kwa ndugu zako..
Jitahidi upunguze mazoea baina ya mkeo na familia yako,, hili litasaidia sana coz KUZOEANA SANA NDIO KUNAPUNGUZA HESHIMA,, make sure wanakutana kwenye mambo ya msingi tu.
Thank me later
Umepatia utume mpesa yako ukapate soda.Huwaa inatokeaaa...mara zoteee hao huwaa na hofu ya Mungu ndani yakee...wakwe wazuri wapo na wenye shidaaa piaa wamejaaa
Ntakuambia kule ila sio mim kabisaa mim bado natafuta.Au ni wee ndo unaejuzungumzia?
DahMara nyingi nimeshuhudia mabifu kati ya mwali na mama mkwe na mawifi,ukiangalia hakuna sababu za msingi za mabifu haya.Yamenikuta ndo mana nasema hivyo.Ukiangalia nampenda wife na mama nampenda pia.Kuoa ndio chanzo cha kuchukiana na mama sasa.Dah kua uyaone
Kwamba wanakuwa wamepata pa kutua mzigo (ndugu yao)😂😂Ni wivuu tu wa kijingaaa...na ukiona umeolewaa halafu mama mkwe akakupendaa au ndungu wa mume wakakupenda..jua tu huyo mtoto wao ni kimeo..kichomi..full stop.