Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,886
- 172,629
Cha muhimu ni kukeep distance, hapo mtaheshimiana....
Wanawake tuna viujinga vingi mno.
Wanawake tuna viujinga vingi mno.
Shida ni kwamba wanawake hawapendani na kila mtu hua anajiona matawi ya juu kuliko mwenzie, mbona hakuna ugonjwa wa baba mkwe na mkwe au shemeji na makaka?Mara nyingi nimeshuhudia mabifu kati ya mwali na mama mkwe na mawifi,ukiangalia hakuna sababu za msingi za mabifu haya.Yamenikuta ndo mana nasema hivyo.Ukiangalia nampenda wife na mama nampenda pia.Kuoa ndio chanzo cha kuchukiana na mama sasa.Dah kua uyaone
Shida huanzia hapo sasa, lkn kama wanawake wote wangekua wanachukuliana poa bila kuwa na makuu yeyote, basi hata umbea ungepungua...Ni kweli,wanawake zaidi maneno
Ndioo dadaa yaaan unashangaaa upendo wa mama mkwe umezidi kwako kuliko hata kwa mwanaee😅😅😅..muangaliee sasaa huyoo mwanaee kila siku unalia nayee hapoo ndaniii...akuuu mimii🙌🙌Kwamba wanakuwa wamepata pa kutua mzigo (ndugu yao)😂😂
Hebu basi fanya fanya bas unambie, na venye unasema unatafuta huenda ikawa dodo chini ya muembe, lol [emoji23][emoji23][emoji23]Ntakuambia kule ila sio mim kabisaa mim bado natafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo linaanziaga wanapokua wanaishi nyumba Moja.
Mf: diamond na mama ake
Ali kiba na mama ake
Uwe mpole kwanza hii ndo point ya muhimu [emoji23][emoji23][emoji23]Hebu basi fanya fanya bas unambie, na venye unasema unatafuta huenda ikawa dodo chini ya muembe, lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kukosa tu akili na busara, huwezi kuweka bifu na mama mkwe wako au mawifi zako, ukiolewa hao unaowakuta ndio familia yako na unapaswa kuwa kiunganishi na sio chanzo cha ugomvi, mapyngufu unayoyakuta huko unapaswa kujifunza kudeal nayo in a peaceful manner tena kwa busara ya hali ya juu na upendo, mengine unayavumilia kwa sababu yapo kwenye kila jamii hata kwenu ulipotoka yapoMara nyingi nimeshuhudia mabifu kati ya mwali na mama mkwe na mawifi,ukiangalia hakuna sababu za msingi za mabifu haya.Yamenikuta ndo mana nasema hivyo.Ukiangalia nampenda wife na mama nampenda pia.Kuoa ndio chanzo cha kuchukiana na mama sasa.Dah kua uyaone
Hapo sasa tena, duuuh.Uwe mpole kwanza hii ndo point ya muhimu [emoji23][emoji23][emoji23]