Bifu la walioolewa na mama mkwe chanzo nini?

Bifu la walioolewa na mama mkwe chanzo nini?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,251
Reaction score
11,926
Mara nyingi nimeshuhudia mabifu kati ya mwali na mama mkwe na mawifi, ukiangalia hakuna sababu za msingi za mabifu haya.

Yamenikuta ndo mana nasema hivyo.Ukiangalia nampenda wife na mama nampenda pia.Kuoa ndio chanzo cha kuchukiana na mama sasa.

Dah! Kua uyaone
 
Mara nyingi nimeshuhudia mabifu kati ya mwali na mama mkwe na mawifi,ukiangalia hakuna sababu za msingi za mabifu haya.Yamenikuta ndo mana nasema hivyo.Ukiangalia nampenda wife na mama nampenda pia.Kuoa ndio chanzo cha kuchukiana na mama sasa.Dah kua uyaone
Hapo unatakiwa Uelewe kwamba Wanawake wanankawaida ya Kuoneana wivu, na si hivyo tu hata marafiki wa Mkeo wanaweza Kumuonea wivu na ndo maana huwa ni rahisi sana Mwanaume kutembea na Marafiki wa Mkewe kuliko kumtongoza mwanamke mpya, Kwahiyo Ndugu zako kuchukiana na mkeo ni ile hali ya Uanamke tu ya Kuoneana wivu, so unatakiwa ujue namna bora ya Kumuweka mkeo na Umueleweshe ili asishindane nao maana kila mtu na nafasi yake hao ndugu zako haitakuja itokee ulale nao kama wapenzi sasa kazi kwako
 
Ndugu wa kiume anapooa wengi hufikiri mke kaja kuziba riziki zao, kama kaka alikuwa anahudumia familia, anatoa support flani chuki inakuja tu juu yao kwamba pesa yoote itaishia kwa mwanamke! Chuki huanzia apo Ila pia wapo watu wengine chuki tu wanajenga juu ya wakwe zao na mawifi bila sababu chokochoko za hapa na pale ilimradi tu wamkere mke wa ndugu yao
 
Mimi suala la kuoa naona bado ni jambo la muhimu sana, kwa sababu bila mwanamke maisha ya mwanaume kama yanakuwa hayana maana vizuri. Lakini nawaza kuja kuoa halafu changamoto zisizo na msingi kama hizi zikawa zinaendelea katika familia yangu. Negativity mbaya sana inaharibu kwa utaratibu mzima wa maisha kwa ujumla.
 
Sasa watu wanaishi mbali mbali iweje tena wagombane? Wewe ni mtu wa karibu kwa wote, unadhani ni nani mkorofi?
Mama yupo kwake,huko tunaendaga Disemba kwa disemba au kukiwa na msiba au sherehe
 
Huwaa inatokeaaa...mara zoteee hao huwaa na hofu ya Mungu ndani yakee...wakwe wazuri wapo na wenye shidaaa piaa wamejaaa
Kuna mtu halewi sio mzinzi kiufupi hana uchafu Wala mambo ya kipuuziiiiiii ila mkeo mamaake na ndugu zake wote wanampenda mke wake kweli kweli sasa nayo vipi?
Ila yupo wa kiume pekeake au ndo sa
 
Back
Top Bottom