Na umeyaandika haswa. Kila mmoja akijua nafasi hakuna kitacho haribika. Sijawahi kuwa na ugomvi na mamakwe.mama mkwe anaona mwanae kaoa nafasi yake itakua haipo, kitu asichokijua ni kua atabaki kua mama nafas yake ipo palepale kwa anayeolewa hutaka mume ancontrol yeye, yan hata mama yake mkwe asitatuliwe shida zake had ruhusa itoke kwake
hawa wote wanashindwana kwa sababu kila mmoja hajui nafasi yake na ukiona mkwe anamjibu mama mkwewe ujue hata mama yake hawezi mheshim
kunbe nikitulia naandikaga madini.
hongera sanaNa umeyaandika haswa. Kila mmoja akijua nafasi hakuna kitacho haribika. Sijawahi kuwa na ugomvi na mamakwe.