kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,013
- 11,949
Wasalaam
Wakuu leo tumeshudia kumalizika kwa bifu lililodumu kwa muda mrefu baina ya Sugu na Ruge, kwa mujibu wa wa Sugu na Ruge wao kama wao wamemaliza bifu lao,lakini je vipi kuhusu Vinega wao bado bifu linaendelea?nalazimika kuongea hivyo kwa sababu nilichokisikia na kukiona, ni kuwa bifu la Sugu na Ruge limekwisha tena kwa midomo yao wenyewe,swali langu ni je kwa nini Sugu amewaingiza mkenge Vinega?kama bifu lilikuwa lake ni kwa nini akawaingiza Vinega?na je haoni kwamba amewasaliti Vinega?na itakuwaje kwa Vinega na wasanii waliowatukana kipindi cha bifu?je nikisema Sugu alikuwa anawatumia Vinega kwa maslahi yake nakosea?Sugu amewaingiza Vinega choo cha kike na kuanzia sasa tutegemee chochote kutoka kwa Vinega,SUGU ATATUAMBIA NINI KUHUSU HILI?
KICHOMIZ!!!!!!!!!!!!.