Bifu la Eminem na Snoop Dogg

ila Em naye kazingua na list yake
seriously unamtaja Redman, Wayne na LL
What about Black Thought, TechNine n Scarface?

Snoop must have been high wakati anatoa comment yake cz kaja na list ya rappers wa 80s wakati Em kaja na two generations (old skul and new skul).
Ni maoni yake, maoni ya mtu sio sheria
 
Inawezekana kabisa nasumbuliwa na kaubaguzi ka rangi mkuu

Binafsi naamini Rap ni mziki wa weusi
Sasa haka kajamaa kamepata kukubalika kiaina na weusi ukija kujumlisha na weupe wenzie kanajikuta kana platform kubwa mnnoo tofauti na mtu kama Snoopy anayekubalika zaidi na majority ya weusi

Siwezi kupinga kwamba hakana mafanikio, yapo makubwa mmno album kanauza balaa na matamasha kanajaza balaa
Ila ukweli ni kwamba kanabebwa zaidi na upande wa pili wa weupe wenzie ingawaje hata weusi mnamkubali
Eminem ni pure talent ile, sio uzungu, mbona kuna rappers wengi wazungu ambao hawajafikia hata robo ya mafanikio yake? wao kwa nini wasibebwe?

Kasikilize collabo za Eminem na rappers weusi ndio utaona anavyowaua, mf no love akiwa na Lil Wayne

pasipo hao akina snoop ,dre ,tupac ,notorious big ,ice cube coolio nisingejua mziki wa rap wa marekani enzi za miaka ya 90 sikumsikia huyo zeruzeru eminem
Unachoshindwa kufahamu eminem kaanza muziki au kutambulika akiwa mkubwa ukilinganisha na hao uliwataja sasa mtu kama coolio au fugees wapo toka mwaka 90 wakati eminem hakuwepo ila toka eminem ametoka alisikika hapo hapo alivyotoka, kama unakumbuka track ya MY NAME IS...,
 
ila Em naye kazingua na list yake
seriously unamtaja Redman, Wayne na LL
What about Black Thought, TechNine n Scarface?

Snoop must have been high wakati anatoa comment yake cz kaja na list ya rappers wa 80s wakati Em kaja na two generations (old skul and new skul).
Lil Wyne unamchukuliaje mzee
 
Ninachompendea Eminem mbali ya uimbaji wake ni mtu slasiyependa ubaguzi na anapenda ngozi nyeusi pia. Ila kwenye list zao wote wawili wamemwacha Method Man wamezingua!
Kuna vichwa kama Evidence, Rakaa, SEAN price (marehemu), Al Chemistry, Wu Tang Clan ..huyu Method man ni type za akina Rick Ross
 
Eminem ni pure talent ile, sio uzungu, mbona kuna rappers wengi wazungu ambao hawajafikia hata robo ya mafanikio yake? wao kwa nini wasibebwe?

Kasikilize collabo za Eminem na rappers weusi ndio utaona anavyowaua, mf no love akiwa na Lil Wayne

Hii ngoma ni kali miaka yote ..kiufupi Eminem (Em n' Em) best rapper of the Time
 
Kuwa serious mkuu, leo Method Man ni wa kumfananisha na Rick Ross? Dah
Halafu jamaa sijui hajui anachoongea!? Mana anadai kuna vichwa kama Wutang Clan Halafu hapo hapo anamdiss Method Man moja ya wajumbe Wa hiyo Wutang anayoikubali
 
Halafu jamaa sijui hajui anachoongea!? Mana anadai kuna vichwa kama Wutang Clan Halafu hapo hapo anamdiss Method Man moja ya wajumbe Wa hiyo Wutang anayoikubali
Nimeona nikae kimya tu mzee, hauwezi m diss Method Man halaf ukawasifia Wu Tang, sijui ndio unakuwa unafanya nini.. Yaan Method Man umlinganishe na Rick Ross ha ha dah
 
Snoop anachikitafuta atakipata tu.

Huenda eminem anamuheshimu tu kama brother lakini kwa namna yoyote ile snoope dog hawezi kumfikia eminem hata robo.

Sheria ya kwanza ukiwa star wa hiphop jitahidi kukaa mbali sana kwenye kuanzisha ugomvi na eminem, Huyu mzungu hakuna mtu anaemweza akianza kukuchana.

Snoop ajaribu kuficha hisia zake, Sio peke yake anaemchukia eminem, wapo wasanii wengi wa hiphop sana sana weusi wanamchukia sana eminem maana anaweza mno lakini wanajisitiri.
jamaa wanamchukia kwakuwa amewazidi uwezo halafu nimeshangaa Sana kuona kwenye list ya snop hata PAC hayupo snop ni snitch snitch toka kitambo
 
Back
Top Bottom