jrmpya
Member
- Dec 3, 2014
- 74
- 58
Good Morning ndugu zangu kokote kuliko mliko, Hii n kwa wakina dada na wakina mama wanaopenda kupendeza na kuvaa vilivyo bora kwa bei nafuu, vifuatavyo ni vitenge kutoka Thailand, pochi kutoka uturuki!!, vitu hivi vyote vipo dar so ikiwa unahitaji ukiwa hapahapa dar unaletewa kokote uliko ndani ya dar, 0655254454, bei ya vitenge inatofautiana kati ya hivyo vipo vya elfu 45 na 35!!! Karibuni sana.