HERY HERNHO
Senior Member
- Mar 4, 2022
- 110
- 458
Hapo umeshiba dagaa zako unabeua tu... wakati urusi anatumia nukes NATO watakua wanamchekea?Elon Musk ana maono na akili sana, aliwaondolea Ukraine huduma ya Starlink sababu wanapewa kiburi cha kijinga ambacho kinaweza sababisha vita ya tatu ya dunia.
Mrusi akichoka atatumia nyuklia kumaliza kazi mapema, ni mpuuzi tu anaechukua side kwenye hii vita sababu huwezi chagua between 2 evils. Ikitokea ww3 wa kulaumiwa ni mashabiki na supporters wote wa pande zote Russia na Ukraine.
Mwaka mbovu, USD iko juu, stock markets zinayumba yumba lkn bado wanataka kuendeleza upuuzi wao, worthless bastards kabisa.
Elon Musk ana maono na akili sana, aliwaondolea Ukraine huduma ya Starlink sababu wanapewa kiburi cha kijinga ambacho kinaweza sababisha vita ya tatu ya dunia.

Sasa hio si ndo itakua ww3 kama nlivosema hapo juu.Hapo umeshiba dagaa zako unabeua tu... wakati urusi anatumia nukes NATO watakua wanamchekea?
Hapo umeshiba dagaa zako unabeua tu... wakati urusi anatumia nukes NATO watakua wanamchekea?
Elon Musk ana maono na akili sana, aliwaondolea Ukraine huduma ya Starlink sababu wanapewa kiburi cha kijinga ambacho kinaweza sababisha vita ya tatu ya dunia.
Mrusi akichoka atatumia nyuklia kumaliza kazi mapema, ni mpuuzi tu anaechukua side kwenye hii vita sababu huwezi chagua between 2 evils. Ikitokea ww3 wa kulaumiwa ni mashabiki na supporters wote wa pande zote Russia na Ukraine.
Mwaka mbovu, USD iko juu, stock markets zinayumba yumba lkn bado wanataka kuendeleza upuuzi wao, worthless bastards kabisa.
Em ngoja nikucheke kwanza.Uchumi wa Marekani unafanya vizuri sana kwa sasa chini ya Biden, amka kutoka ndoto unazoota.
Jibu swali we kizala wahed! Umeulizwa ulitaka ukraine walipovaniwa wafanye nini?Em ngoja nikucheke kwanza.
Natrade markets fulltime, SPY(stock index ya makampuni makubwa US) ilianza vzr mwaka huu baada ya kupoteza sana mwaka jana lkn wiki hii ni loss tu zinatembea.
Credit cards balance US zimepaa watu wanatumia credit kupitiliza.
Kampuni zote kubwa za US zinafukuza kuanzia 10% hadi 20% ya wafanyakazi wakiongoza na makampuni makubwa kama Google, Meta(facebook), Stripe, Paypal etc....
US federal reserve chini ya Powell imeongeza Interest rate na inategemewa kuendelea kuongeza so mikopo imekua expensive makampuni hayawezi kurisk kukopa tena so yanapunguza cost of production.
Numbers zinasema US inaenda kudefault kwenye Bonds zake japo officials wanapinga hivo, lkn history na numbers zinaonesha uwezekana mkubwa wa kudefault.
Kama huna facts usi-argue na mm khs hio topic nenda MMU.
Kichwa maji huyo hapo anasubiri tende na ftari za bure apumzike kuka dagaa..Ulitaka Ukraine wafanye nini?
Kama wewe ungekuwa katika nafasi ya Zelenskyy ungefanya nini nchi yako inapovamiwa?
Hamna aloniuliza hilo swali hapa.Jibu swali we kizala wahed! Umeulizwa ulitaka ukraine walipovaniwa wafanye nini?
Dagaa za vumbi mnazokula ni hatari kwa afya ya akili!! Haya vua hizo kobazi tanua huo msuli ulovaa hewa ipite ndani
Huna akili wewe mvaa kobazi.Hamna aloniuliza hilo swali hapa.
Umasikini wako wa akili na upuuzi ulorithishwa usiniletee hapa, huwa sijibu trash kama zako. Endelea kutukana sababu matusi ndio kimbilio la mjinga siku zote. Tukana matusi yote unayojua ila kama huna akili, huna akili tu.
Mie sishabikii upande wowote na nimesema toka kwenye comment yangu ya mwanzo, so hilo swali umeuliza sehemu isio sahihi.Ulitaka Ukraine wafanye nini?
Kama wewe ungekuwa katika nafasi ya Zelenskyy ungefanya nini nchi yako inapovamiwa?
Mwanaume halisi huwa hatupi jiwe gizani sababu anajiamini kuface outcome za maneno au matendo yake.Mnabishana na asiyejielewa
Jibu swali ungekua wewe ndo Ukraine umevamiwa ungefanya nini? Unazunguka kichaka?Mie sishabikii upande wowote na nimesema toka kwenye comment yangu ya mwanzo, so hilo swali umeuliza sehemu isio sahihi.
Kinachonishangaza ni viongozi wakubwa na nchi mbalimbali kuendelea kukoleza moto kwenye hii vita kwa kuwasupport kivita pande zote mbili bila kufikiria namna ya kutafuta suluhisho. Waliogundua hilo ni kosa wameanza kujitoa na ndo maana nikatolea mfano wa elon musk kudisable access ya starlink kwa jeshi la ukraine
Wewe umejuaje masaa 24 yupo kwenye social media kama nawewe hushindi huko?Mwanaume halisi huwa hatupi jiwe gizani sababu anajiamini kuface outcome za maneno au matendo yake.
Mwanaume halisi yuko tayari kusimamia anachoamini.
Mwanaume halisi hashindi masaa 24 kwenye social media.
Tafuta kazi ufanye.