Biden atashinda, Trump is done


We kaka una visikio vidooogo [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Unataka kujenga hoja gani hapo?

Biden na Clinton ni watu wawili tafauti sana.Trump alofanikiwa mno kumchafua Clinton na ile scandal ya email lakini anashindwa kwa Biden.
Sitaki kujenga hoja yoyote. Linganisha quote na link.

Hiyo scandal ya email Trump alimchafuaje na wakati ilikuwa ni kweli? Anyway hope mnajua kuna investigation ya Att. Durham inaendelea...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ina maana Mmesahau!

 
My gut feeling and my common sense zinaniambia atashindwa.

Lakini pia 2016 gut feelings na common sense zangu hizi hizi ziliniambia atashindwa vibaya mno.

Hahahaaa....
Namuombea ashinde.
 
Namuombea ashinde.
Hahaaaa.

Ongeza maombi maana jamaa akili yake anaijua yeye mwenyewe.

Sijawahi kuona Rais wa Marekani anayegombea muhula wa pili na anayejihujumu yeye mwenyewe na hivyo kuifanya kazi ya mahasimu wake wa kisiasa kuwa rahisi mno.

Lakini kusema ukweli wala hakuna jipya.

Trump wa 2016 ndo huyu huyu wa 2020.

Ni mtu wa ma conspiracy theories ya kijinga kijinga.

Kauli za ajabu ajabu.

Tabia isiyo ya ki-Rais.

Umbeya umbeya.

Uongo uongo.

Drama.

Yaani vurugu mechi mwanzo mwisho.

Ndo maana nasema common sense yangu, logic, na conventional wisdom viliniambia kwamba 2016 asingeshinda.

Na mwaka huu ni hivo hivo.

But, Trump is not a conventional candidate nor a conventional president either.

So we shall see!
 
Trump yupo nyuma sana katika kura za maoni
Hizo kura za maoni siyo za kuziamini sana, hasa ukitilia maanani kuwa hata vyombo vinavyotoa au tangaza matokeo vinampendelea Biden. Tusubiri sanduku la kura. 4 more years for Trump
 
Hizo kura za maoni siyo za kuziamini sana, hasa ukitilia maanani kuwa hata vyombo vinavyotoa au tangaza matokeo vinampendelea Biden. Tusubiri sanduku la kura. 4 more years for Trump
Stand Back and Stand By!
 
Vyovyote itakavyokuwa Trump hang'oki, yupo tayari hata kuidumbukiza Nchi kwenye machafuko.
 
Let us wait and see!
 
hii electoral college wabongo wengi huwa inatupiga chenga kuielewa
Napenda kufahamishwa electoral college inachangia asilimia ngapi na popular vote inachangia asilimia ngapi
 
Nimependa hiyo ya senate kuhesabu na kuhakiki kura zote.Inapunguza vote rigging.

Iwapo electoral college vote ndio muhimu basi kuna haja gani ya kuwa na popular votes
Ili mgombea aweze kushinda electoral college votes za jimbo, ni lazima ashinde popular votes za hilo jimbo [statewide popular votes].

Kwa hiyo, mwisho wa siku national popular votes hazitumiki kuamua nani ndo mshindi.

Majimbo 48/50 yana utaratibu wa winner-take-all.

Yaani, mgombea anayeshinda popular votes za jimbo, anapewa electoral college votes zote za hilo jimbo.

Hizo electoral college votes zinakuwa allocated kwa jimbo kwa kuchukua idadi ya wawakilishi lilinao hilo jimbo kwenye bunge la Marekani [House of Representatives] na kuongeza wengine wawili kuwawakilisha ma seneta wa jimbo.

Kwa mfano, kama jimbo la Tennessee lina idadi ya wawakilishi 8 kwenye bunge, basi litakuwa na idadi ya hizo electoral college votes 10.

8 za kuwakilisha hao wabunge na mbili za kuwakilisha maseneta.

Kila jimbo Marekani huwa lina maseneta wawili.

Majimbo mawili, Nebraska na Maine, hayana huo mfumo wa winner-take-all.

Yanatumia mfumo wa congressional district [method].
 
Sante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…