Biden atashinda, Trump is done

Biden atashinda, Trump is done

Kibabu cha maajabu biden

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Hahaaa daah!

Siasa bana.

Kila upande unatoa shutuma za figisu.

Mfano ajuza Hillary mpaka leo bado anadai aliibiwa kura kwa hisani ya Warusi.

Either way it goes, things will be alright.

Presidents don’t affect your day to day life.

People will still have to get up and go to work to put food on the table, have a roof over their heads, and clothes on their backs.

Hakuna Rais wa nchi yeyote ile hapa duniani aliyewahi kunilipia hata hela ya mafuta ya gari.
 
Ndio maana mimi hata kura sipigi maana sina faida wala hasara nae anaechaguliwa

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa daah!

Siasa bana.

Kila upande unatoa shutuma za figisu.

Mfano ajuza Hillary mpaka leo bado anadai aliibiwa kura kwa hisani ya Warusi.

Either way it goes, things will be alright.

Presidents don’t affect your day to day life.

People will still have to get up and go to work to put food on the table, have a roof over their heads, and clothes on their backs.

Hakuna Rais wa nchi yeyote ile hapa duniani aliyewahi kunilipia hata hela ya mafuta ya gari.
Nyani Ngabu ,

Pana ukweli wowote kuhusu video hii hapa chini?

Wazee wa conspiracy theories hao.

I’m a realist.

Hao wanafurahisha bongo zao tu.

Thanks. So, what really happened on the ground? Ni kweli pana uchakachuaji wa kura au ni poropaganda zengine?
 
Mimi nahisi uchakakachuzi upo, ingawa sina ushahidi.

Nahisi hivyo kwa sababu ya mazingira ya mwaka huu.

Hizo mail-in ballots siziamini hata kidogo.

Imagine Tanzania nusu ya wapiga kura wangekuwa wanapiga kura kwa njia ya barua.

Yaani hapo mianya ya uchakachuzi ni mingi mno.
 
..uchakachuzi uko dhidi ya upande mmoja tu, au uko dhidi ya pande zote?

..kwa mfano, unadhani wapi Trump amechakachua? Na wapi Biden amechakachua?
 
Asante.
 
Nitakuwa muongo nikisema uchakachuzi upo upande mmoja tu.

Wanasiasa, kwa sababu moja au nyingine, huwa ni wa laghai laghai. Watafanya kila wawezalo ili wajinufaishe wao.

Kuhusu wapi Trump kachakachua, ni vigumu kusema kwa sababu hakuna sehemu ambayo mpinzani wake ameiangazia.

Hiyo inaweza ikawa ni sababu kwamba kwa sasa anaongoza. Angekuwa yuko nyuma, naamini angepata maeneo ya kuyalalamikia.

Hillary aliposhindwa unakumbuka alimlalamikia nani? Putin....siyo?

Al Gore je? Yeye alimlalamikia Jeb Bush, ambaye ndo alikuwa Gavana wa FL mwaka huo wa 2000.

Biden nahisi Fulton County, ambayo ni majority Democratic county, na ni county ambayo ina corruption ya hali ya juu, mimi naitilia mashaka sana. Kuna mambo yaliendelea ambayo yanatia shaka.

Philadelphia Pia, ambao ni mji wenye Democrats wengi, kuna nyakati waangalizi wa GOP walifungiwa nje mpaka ikabidi waende mahakamani.

Sasa hebu jiulize, katika huo muda ambao hawakuwemo kwenye vyumba vya kuhesabia, ni nini kilichokuwa kinaendelea?

Kuna incidents nyingi tu kama hizo na zimetokea kwenye ‘battleground’ states.

Kwa nini? Kwa nini hazijatokea Oregon au Washington?

Mimi si mshabiki kabisa wa hizi habari sijui advance voting, mail in voting, na upuuzi mwingine kama huo kwa sababu njia hizo zinatoa mianya mingi sana ya uchakachuzi.

Mimi napendelea watu wanapiga kura siku moja. Muda wa kupiga kura ukiisha, masanduku yanafunguliwa, kura zinahesabiwa hadharani mbele ya mashuhuda wote, zinajumlishwa, mshindi anatajwa.

Hizi habari za kuendelea kuhesabu kura siku 3, 4, au 5 baadaye ni chanzo cha uchakachuzi na zinashusha imani ya watu katika mfumo mzima uliopo.

Hivi kuhesabu na kujumlisha kura kwa nini kuchukue masiku yote hayo? Nini kilicho kigumu?

Hili suala hata huku kwetu ndilo linalopelekea watu kutokuwa na imani na chaguzi zetu.

Pamoja na yote hayo, mimi katika maisha yangu sijawahi kuathirika kwa namna yoyote ile kutokana na rais aliyepo madarakani.

Boksi lipo palepale na nisipobeba, watoto hawatokula.

Mzee Biden hawezi kuja kunilipia bili ya umeme, Trump hawezi kuja kunilipia bili ya maji, na Magufuli hawezi kunilipia ada za watoto.

Na hata nikifukuzwa kazi, wote hao hawawezi kuja kunipa kazi. Itabidi ninyanyuke mwenyewe nikachakarike mtaani kutafuta kibarua kingine.
 
Well said and put ngosha...
 
Fikiria jimbo kama Texas, kura nyingi za democrat zinatoka kwenye majiji yao matatu (Houston, Dallas na Austin). Majiji haya ndiyo yenye watu wengi weusi. Kama kungekuwa utaratibu wa kugawana kura basi na wao wangepata nafasi yakuchangia, kuongeza electoral vote kwa mgombea waliyemchagua. Lakini kwa mfumo wa sasa hill billies ndiyo wanatamba.
Unayo point katika hili lakini hili ni suala hata wao wanahitaji mjadala mrefu maana hii system yao ni zaidi ya miaka mia na hawa sio watu wepesi kubadilisha katiba yao wanaheshimu sana wanaamini inafaida kubwa kwao kuliko hasara na uhakika ingekuwa ni shida kwao isingedumu muda wote huu.
 
Hillary hakuwahi kuwa na lead zaidi ya asilimia 50..Trumpa waliokuja kumpa ushindi ni undecided voters. Halafu hata Hillary alishinda popular votes. Alimzidi Trump kura milioni 2

Sasa Trump aliibukia majimbo ambayo Biden now anaongoza zaidi ya asilimia 7

Trump Hana pa kupita this time

Hongera sana kwa correct prediction...

It's true that, it's almost done..

Pennsylvania State yenye Electoral College votes 20 inaenda mikononi mwa Joe Biden (D)..

Georgia yenye Electoral College votes 16 hata kama kwa sasa kunafanyika "vote recounting", obviously itakwenda kwa Joe Biden (D)..

Kuna possibility Joe Biden (D) akaweka rekodi ya kushinda kwa zaidi ya Electoral College votes 300..!!

This is shameful results for USA incumbent president...

Hii inaonesha kuwa, Rais aliye madarakani na anayetoka sasa hukufanya kazi yake vizuri kiasi cha kuwaudhi wananchi wengi..
 
In life, good attitude will always take you far. Ulimi ni kiungo kidogo lakini chaweza kukuangamiza vibaya

Mtu kutwa kutoa kauli chafu. Anadiriki kumuita Dr. Fauci disaster, Kamala Harris monster....list ni ndefu

Trump anaenda kuponzwa na ulimi wake

Wacha ale jeuri yake
 
Back
Top Bottom