Hiyo ni research nimefanya, kama kuna kitabu kingine kama reference unakaribishwa kukitaja.Unasema kwamba hujui kama kuna vitabu vingine vyenye majibu ya maswali yako tofauti na biblia.
Sasa unasemaje kwamba biblia ndio kitabu pekee chenye majibu ya maswali mengi kumhusu binadamu?
Yani hujawahi soma vitabu vingine ila una hitimisha kwa kusema kitabu cha biblia ulicho soma ndicho chenye majibu ya kila kitu....Think twice!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nilijifunza elimu ya siku za mwisho, nimeona vitu vingi sana na nikagundua usipokua msomaji ni rahis sana kupata elimu ya uwongo bila kujua.Biblia ni kitabu Cha pekee sana.
Ukisoma kwa KUONGOZWA na Roho mtakatifu. Utakutana na Historia ya Dunia na Kila kitu.
Dhambi.
UKOMBOZI.
Kuja kwa Mpinga kristo.
NABII WA Uongo.
KUMUABUDU MNYAMA.
Kuanzishwa kwa DINI ya Uongo
UFALME wa Mbinguni nk.
Twende taratibu kimoja kimoja.Niambie jinsi ya biblia imeonyesha namna ya kufanya ibada?
Niambie wapi biblia imeonyesha namna ya kufunga ndoa na kugawana mirathi?
Nionyesha katika adabu na taratibu za binadamu kama kula ,kulala, kutembea Na mambo ya kili siku kupitia bible?
Nionyeshe sayansi ya binadamu kupitia biblia kwa mfumo wowote ule ?
Twende uwanja huu hapaTwende taratibu kimoja kimoja.
Tuanze hilo la kwanza, tukienda haraka hatutoweza kuelewana.
Mungu anatutaka sisi kumtumikia (kumtii) na kumuabudu (ibada)
Hii ni nafasi nzuri nataka tujadiliane kwa pamoja, tulinganishe Biblia na Quran ipi inaweza kuwa na namna bora ya ibada.
mimi nitaelezea kwa kutumia Biblia wewe utaelezea kwa kutumia Quran kisha tutafanya uchambuzi.
Pia anza kueleza ibada ni n nn? then nifungue vault hapa nionyeshe .Twende taratibu kimoja kimoja.
Tuanze hilo la kwanza, tukienda haraka hatutoweza kuelewana.
Mungu anatutaka sisi kumtumikia (kumtii) na kumuabudu (ibada)
Hii ni nafasi nzuri nataka tujadiliane kwa pamoja, tulinganishe Biblia na Quran ipi inaweza kuwa na namna bora ya ibada.
mimi nitaelezea kwa kutumia Biblia wewe utaelezea kwa kutumia Quran kisha tutafanya uchambuzi.
Biblia ndio asili ya hivyo vingine vimekopi na kuedit tuUnasema kwamba hujui kama kuna vitabu vingine vyenye majibu ya maswali yako tofauti na biblia.
Sasa unasemaje kwamba biblia ndio kitabu pekee chenye majibu ya maswali mengi kumhusu binadamu?
Yani hujawahi soma vitabu vingine ila una hitimisha kwa kusema kitabu cha biblia ulicho soma ndicho chenye majibu ya kila kitu....Think twice!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Karibu mtumishi upate madini Bora kabisa kuhusu Mungu,mkaribishe na ndugu yetu kiranga plus smotor.Hii mada nikichangia nitammaliza nguvu mwenye hoja...🤣nimwache tu asome story book yake
Nafikiri hii kauli usichukulie literary... kumbuka Mungu ni roho.. hana nyama na damu kama sisi....Biblia inasema Mungu amemuumba Mwqnadamu kwa mfano wake
Jee Mungu alikuwa
Mweupe
Mweusi
Mwanamke
Mwanaume
Mrefu
Mfupi
Mwafrika
Mzungu
Mwarabu
Mchana
Jee kwa mfano labda Mungu alikuwa Mzungu akamuumba Mwanadamu kwa mfano wake ambaye ni Mzungu, jee Binadamu ambaye siyo Mzungu ni Binaadam TIMAMU.
Huoni kwa kauli hiyo Biblia inaweza kupanda mbegu ya ubaguzi. ???
Biblia inasema Mungu amemuumba Mwqnadamu kwa mfano wake
Jee Mungu alikuwa
Mweupe
Mweusi
Mwanamke
Mwanaume
Mrefu
Mfupi
Mwafrika
Mzungu
Mwarabu
Mchana
Jee kwa mfano labda Mungu alikuwa Mzungu akamuumba Mwanadamu kwa mfano wake ambaye ni Mzungu, jee Binadamu ambaye siyo Mzungu ni Binaadam TIMAMU.
Huoni kwa kauli hiyo Biblia inaweza kupanda mbegu ya ubaguzi. ???
Kilichoumbwa kwa mfano wa Mungu ni Roho, sio Mwili.Nafikiri hii kauli usichukulie literary... kumbuka Mungu ni roho.. hana nyama na damu kama sisi....
Nafikir hyo kauli ina maana tuna sifa kama za Mungu au tunaweza kuziiga.. sifa hzo ni kama upendo, haki, fadhili, wema, na utashi ambao haupo kwa viumbe wengne.
😂😂sio ibada maana ya ibada ni kufanya kitu Chochote kwa kumnyenyekea mwenyewe Mungu..Ibada ni lile tendo la Kuabudu.
Kuabudu maana yake ni - hisia au maonyesho ya heshima kwa Mungu.
Nimegoogle mkuu.
🤣We unataka ubishane Ila ukweli unaojua so Sina shida na weweKaribu mtumishi upate madini Bora kabisa kuhusu Mungu,mkaribishe na ndugu yetu kiranga plus smotor.
Hii elimu umetoa wapi ?😂😂sio ibada maana ya ibada ni kufanya kitu Chochote kwa kumnyenyekea mwenyewe Mungu..
Yaani ndo maana wewe ukitaka kulala lazima umuombe ,hata ukitaka kula basi kulala ,kula na matendi yote unapomuhusisha Mungu ni ibada..
Kutembea ni ibada, kula ni inada, kufanya tendo la ndo ni ibada.
Tofautisha ibada na sala