Anatumia kitabu ambacho hakijawahi tumika hekaluni na wayahudi wala hawakiitambuiMkuu kama habari ya kumchafua Nabii Daudi ilitoka kitabu kingine kisicho biblia inatakiwa tujiulize kama kina faida ya kukisoma na kukijadili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ujue agano la kale hakuna kitabu cha Biblia hata kimoja kilichowahi kupotea.Sababu wayahudi walitunza hadi Leo.Biblia ya wayahudi Hebrew bible INA vitabu 39 kama vilivyo kwenye biblia ya King James Version agano la kaleNabii gadi kitabu chake kinakuwaje apocrypha ,correct me if I'm wrong lakini nijuavyo apocrypha age ilikuwa bado sana maana ipo mbele huku nyakati za makabayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wayahudi wenye hao manabii hawaviamtbui hivyo vitabu wala hawana Wala hawatambui waandishi wake Wala hawana kwenye maktaba zao .Na hawajawahi vitumia hekaluni!!!!Yaani kitabu cha reference kiandikwe na mtu mwenye kupakwa mafuta ya kipekee kama Nabii Samuel,,au nabii Gadi au nabii Elisha watu wenye roho ya tofauti ndani yao na wewe uite vitabu vyao kuwa vya kipagani??? Mtu wa kawaida kama wewe mwandishi Unaweza kuhoji credibility ya kitabu kilichoandikwa na Nabii mwenye permanent connection na mbingu?? Uwezo wako ungehoji credibility ya vitabu vya Charles Darwin,,au da Vinci.
Mkuu sikufahamu nje ya jukwaa la siasa una reasoning kubwa hivi!!Mleta mada vitabu vilivyokataliwa kwanza vingine vilijaa uongo Wa wazi kabisa ambao mfano hauendani na mafundisho ya Yesu
Mfano kitabu cha Henoko kinatamka wazi kuwa gharika ilikuja sababu malaika walioa na kuzaa na wanadamu .Wakati Yesu alitamka wazi kuwa malaika Hawaoi wala kuolewa na hawazai
Kuhusu agano la kale kanisa halikupata shida kubwa kusema vitabu vipi likubali na vipi likatae sababu waisrael wana Biblia yao tayari.Na ndio agano la kale linawahusu na walitunza kumbukumbu zake vizuri sana .Kuanzia vitabu vya Musa kiongozi wao.
.Wana Biblia yao inaitwa Biblia ya waebrania au Hebrews Bible .Kwa hiyo kanisa lilichukua yote kama ilivyo na kuiweka kama agano la kale.Bila kuongeza wala kupunguza maneno
kwa Agano vilichukuliwa vitabu vile tu vilivyoandikwa na mitume Wa Yesu sio wengineo.Hivyo vingine vikatupwa nje
Kwa hiyo Agano la kale wanalo wayahudi na wanavitumia hadi Leo ndio walikabidhi kanisa.Vitabu ambavyo wayahudi hawavitumii na hawavitambui kanisa pia halivitambui
Kwa hiyo habari zako za vitabu vyote vya agano la kale vilivyokataliwa na wayahudi kanisa halivitambui.Kiwe kitabu cha Henoko sikui japher sijui Jehu na matapeli wengine
agano jipya pia nje ya walichoandika mitume Wa Yesu hakikubaliki.
Aiseee mkuu nakutunuku PhD ya heshima. Haya maswali yako ni objective sana.1. Mkuu unaweza kutuambia hiyo Hebrew Bible
(a) Ina vitabu vingapi?
(b) vitaje.
2. Umesema kanisa lilipokea biblia ya kale kutoka kwa Hebrews na wakaitunza Kama walivyopewa bila kubadilisha chochote. Iweje leo zinatofautiana idadi ya vitabu?
3. Umesema hivi vitabu nje ya Bible Ni vya kitapeli mfano jasher, gadi,etc. Mbona biblia imevifanya reference?
Sent using LEAGOO M12
Mkuu nimeshakuelewa toka mwanzo kuwa Hizo Jasher cjui Enock ni ''DIARY'' tu hivyo hazifai.Mleta mada anasema Joshua 10:13
13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari?
Hapo tunaona Yoshua akiwapa reference waisrael kupitia kitabu cha Jasher. Kama hoja yako inasema ni cha kitapeli na uongo je ni kwanini Yoshua alikitumia??
Jibu ni hili
Kuna Mambo mawili Kwanza hicho kitabu dini ya kiyahudi hawana lakini kwa Nini Joshua Ali quote?
Kuna diary ya mtu binafsi as individual kwenye biblia inaita kitabu lakini in reality ni diary au kitabu Cha matukio Cha individual ni Kama file la Mambo binafsi ya mtu .Kwa hiyo Yoshua Ali quote kitu kilichokuwa kwenye diary ya jasher .Na hivyo vilikuwa mali ya mtu.Sio public book.Ndio maana wayahudi hawajawahi tumia hicho kitabu Cha jasher,henoko,Gadi nk kwenye masunagogi yao Wala kwenye maktaba zao .Havipo.
Wafalme pia walikuwa na diary zao za kuandika matukio makubwa ya watu mbali.mbali ukisoma Biblia kitabu Cha Esta mfalme aliitisha kitabu Cha mordekai kilichokuwa na Mambo ya mordekai akasoma akauliza huyu mtu kwa mema yake alipewa zawadi gani? Nk Hicho kitabu Cha mordekai na Mambo yake sio kitabu ni diary.
Hizo diary hazipo Tena wayahudi hawakuzihifadhi Wala kuzitumia katika maisha yao iwe kidini au nje ya dini.
Sababu havijawahi tumiwa kidini popote kwa wayahudi na sehemu ya yoyote ya dini hiyo Kwao Hadi Leo na hakuna myahudi ana vi quote hivyo vitabu.Kanisa likarithi kwa wayahudi Biblia yao yenye agano la kale lisilokuwa na hivyo vitabu sababu Musa mwenyewe hajawahi vitumia na hakuna myahudi wa enzi hizo Hadi Leo anavitumia sababu mojawapo ni kuwa hizo zilikuwa diary za watu binafsi Hivyo wayahudi hawakuzihifadhi sehemu ya Biblia
Hivyo vitabu ndio maana Hadi waandishi wake ni Siri walijificha hata majina
Yoshua hicho alichokitaja alikiona ni diary ya mtu lakini matapeli wakaandika vitabu vyenye majina hayo ili wauze wapate pesa na vingi limeandikwa miaka ya karibuni tu wakisingiza vitabu vilivyopotea ili wapige pesa
Mkuu hapa ni hoja tu kama huna unalofahamu kuhusu Bible we subiri tu kupiga vigeregere jumapili na kurukishwa mafuta ila hata huelewi chimbuko la imani yako.Mleta maada shindwa na ulegee.
Bible haikufanya reffrence no Yoshua Kama yeye ndie alifanya reffrencee.Hakunq ubaya kufanya refference private for private consumptionMkuu nimeshakuelewa toka mwanzo kuwa Hizo Jasher cjui Enock ni ''DIARY'' tu hivyo hazifai.
Sasa mimi nachohoji ni kwanini Joshua aliquote hizo "DIARY" ilihali alijua sio kitabu Credible for public consumption?
Pia niliuliza original "DIARY" ya jasher iko wapi ili tulinganishe na ulichoita ni forgery zake.
Nasema hivi sababu kwenye theology lectures nilizohudhuria hivi vitabu vimetambulika kama pseudepigrapha yaani vitabu vya kiyahudi ila havikuwepo kwenye main canon sababu vina walakini fulani mfano kukinzana na main stream bible,Waandishi kutojulikana n.k
Sasa swali langu kama ni pseudepigrapha kwanini Bible ilivitumia kufanyia reference vitabu hivi visivyo na uhalali?
Kingine Book of Enoch kinatumika Na Tawahedo orthodox church ambalo limekuwa na biblia yake tokea enzi za Mfalme suleiman yaani OT nzima ya hebrew bible jumlisha na zile maccabees, bool of Enoch 1-4 n.k na ndio kanisa la kwanza Africa je unazungumziaje ili??
Pia la mwisho unapodai utata wa forgery za vitabu kma ndio sababu mbona mfano kitabu cha Mwanzo hakikuandikwa na Musa ila kimeandikwa miaka zaidi ya 600 baada ya yeye kufa ila kinatambulika kuwa credible ila Hizo Yasher ndio zikiandikwa baadae sana hazina credibility??
Tuondolee hii double standard imayojitokeza mkuu kwa faida ya wasomaji wote
Karibu
Pasaka , Christmas ,Jumapili zote zilikuwa siku za wapagani wakristo tukawapora tufanyie mambo yetu ya kikristo .Inakuuma? vipi wewe ni mpigania haki za wapagani ? Unataka tuwarudishie siku zao?Mkuu hapa ni hoja tu kama huna unalofahamu kuhusu Bible we subiri tu kupiga vigeregere jumapili na kurukishwa mafuta ila hata huelewi chimbuko la imani yako.
Nina uhakika hata pasaka utasherekea hata hujui imeanza wapi na lini na kwa malengo gani!!
Kwa aina hii ya washirika ndio maana manabii feki wanazidi kujazana tu
Kanisa la kwanza halijanzia Roma Italia wala Ethiopia lilianzia uyahudi alikozaliwa Yesu na mitume wake .Kanisa lilianza baada ya Yesu kuzaliwa sio kipindi cha mfalme suleimani!!!!Kingine Book of Enoch kinatumika Na Tawahedo orthodox church ambalo limekuwa na biblia yake tokea enzi za Mfalme suleiman yaani OT nzima ya hebrew bible jumlisha na zile maccabees, bool of Enoch 1-4 n.k na ndio kanisa la kwanza Africa je unazungumziaje ili??
Biblia haikufanya reference ila joshua?? Kwani Biblia so compilation tu ya maandiko ya watu ama?? Hivyo anachoandika Joshua au Nabii fulani sisi tunahesabu ndio msimamo wa Biblia na sio maoni binafsi unless specified.Bible haikufanya reffrence no Yoshua Kama yeye ndie alifanya reffrencee.Hakunq ubaya kufanya refference private for private consumption
Vitabu vyote vya Biblia agano la kale hakuna Cha kuwa kanisa lilikaa kuvikubali au kuvikataa kwa kuwa tayari vilikuwepo 39 vikiwa vimetunzwa vizuri tu na wayahudi wakivitumia kwa mafundisho Karne na Karne kabla hata Yesu kuzaliwa na Ukristo kuwepo duniani
Achana na wanatheolojia na porpjo zao na Mambo yao ya kuokoteza.Agano la kale wanaololijua ni wayahudi .Kwingine kote kulijaa upagani mtupu.
Hivyo vitabu wajua dini yao na wenye manabii wao walikataa kuviweka
Na Kama mtu ku kote misemo labda ya kitabu Cha Nyerere kwenye mahubiri huwezii sema kakosea au ukasema sasa kihalalishwe misemo ya Nyerere iwe sehemu ya Biblia na vitabu vyake mtakatifu Nyerere viwekwe kwenye Biblia.
Yaweza kuwa msemo huo tu mmoja ulio quotiwa ndio wa maana na wa kweli.
Ukinukuu mfano padre au papa akinukuu habari iliyoko gazeti la Nipashe kwa hiyo gazeti la Nipashe liwe sehemu ya mafundisho ya kanisa katoliki?
Joshua ka quote kipande kidogo tu Cha diary au kitabu Cha jasher ,au henoko,au Gadi sio leseni la Hilo tabu kuwa sehemu ya mafundisho iwe ya kiyahudi au kikristo.
Kurani kwa mfano ina quotation za Biblia lakini waislamu hawajawahi ifanya Biblia kuwa kitabu Chao Cha dini.
Kuhusu forgery ushahidi uko.kibao mfano kitabu Cha henoko kimejaa uongo mwingi mfano kinasema Malaika ndio.mungu aliwaambia wajenge safina!!!! Na ndio walijenga!!!!!! Eti
Joshua Ali quote kisehemu kidogo mno sio.leseni ya Hilo diary kuwa sehemu ya Biblia
Naposema kanisa ni ile imani kwa Mungu YAHWEH hivyo wote walioamini hicho kitabu chake na uwepo wake ndio Kanisa kwa definition alichofanya Yesu ni reformation tu sio kwamba alikuta hawatumii Biblia au kumuomba Mungu.Kanisa la kwanza halijanzia Roma Italia wala Ethiopia lilianzia uyahudi alikozaliwa Yesu na mitume wake .Kanisa lilianza baada ya Yesu kuzaliwa sio kipindi cha mfalme suleimani!!!!
Agano la kale Dini ya kiyahudi tu ndio wanavyo vitabu vya agano la kale ambavyo ni 39 viko kwenye Biblia yao .Miaka na miaka hivyo vitabu makabayo sijui henoko ni utapeli Wa kiafrika Wa hillo kanisa.Kwenye biblia ya dini ya wayahudi havimo
Umeenda mbali mkuu nilichohoji ni kwamba huyo mkristo mfuata upepo haelewi imani yake hata ukimuuliza kwanini tunasherekea pasaka haelewi kitu, yaani kwanini kifo cha Yesu msalabani ni ukombozi wa wakristo hawezi jibu kabisa!!Pasaka , Christmas ,Jumapili zote zilikuwa siku za wapagani wakristo tukawapora tufanyie mambo yetu ya kikristo .Inakuuma? vipi wewe ni mpigania haki za wapagani ? Unataka tuwarudishie siku zao?
Wayahudi ninaoongelea ni wale original na conservative siongelei wayahudi Koko ma half cast wa kisamaria au watoto wa Malaya wa Kush yaani wayahudi wa Ethiopia hao wayahudi ngozi nyeusi kizazi Cha Malaya malkia wa sheba hawara wa mfalme Suleiman na genge lake lililofanya umalaya na wanawake wa kiafrika .Na kuzalisha hao wana haramu wayahudi weusi walioanzisha kanisa lenye vitabu Hadi haramu vya henoko na makabayo.Kizazi Cha uzinzi hicho hakijui dini.Alafu narudia tena unaposema wayahudi ni wayahudi wa wapi unaongelea?? Kumbuka Biblia imekua compiled kipindi wayahudi wapo uhamishoni enzi za kina moderchai sasa ni muhimu uelewe walitawanyika mahali tofauti. So wale wa Misri walikua na canon yao ita Alexandria scripts wale waliorudi pia canon yao, Wale wa Samaria pia wana canon yao ya vitabu 4/5 pekee vya OT. So usigeneralise kana kwamba walikua na single source ama walikua unified hao jews.
Mfalme suleiman kipindi chake ndipo interaction na Kush ilipoanza hivyo walipewa mtiririko wa imani za kiyahudi na maandiko kadhaa orally. Hivyo kama wamepotoka ina maana basi wayahudi walishakua wamepotoka sababu kivipi wawape book of Enoch ilihali ni upotoshaji??
Haaahaaa hili povu imebidi nicheke kwa nguvu 🤣 🤣Wayahudi ninaoongelea ni wale original na conservative siongelei wayahudi Koko ma half cast wa kisamaria au watoto wa Malaya wa Kush yaani wayahudi wa Ethiopia hao wayahudi ngozi nyeusi kizazi Cha Malaya malkia wa sheba hawara wa mfalme Suleiman na genge lake lililofanya umalaya na wanawake wa kiafrika .Na kuzalisha hao wana haramu wayahudi weusi walioanzisha kanisa lenye vitabu Hadi haramu vya henoko na makabayo.Kizazi Cha uzinzi hicho hakijui dini.
Nazunguzia dini ya kiyahudi ya wayahudi conservative ambao wameshikilia dini ya kiyahudi bila ku dilute hao ndio wenye vitabu 39 vya agano la kale
N
NaZani wewe ni MTU uliyejibu hoja wengine hawakutaka Hata kuvisikia hivyo vitabu vya reference
Nikuulize aliecombine bible alitumia vigezo gani kuweka vitabu na kutoa?
Nitakujibu.Niko Hapo unapodai mabinti walidhani ulimwengu mzima umeteketea,lutu aliishi sodoma lakini nduguye Abraham aliishi SI mbali na hapo,
Sawa na tuchukue umbali toka kariakoo Hadi pugu ama ubungo,Hapa nakisia,lakini hata kwa Leo ukipima um
Sijui ulitaka bible iandike waziwazi,kitendo Cha bible kudai mwana wa Saul alimpenda Daud Ni redflag,
Kitendo Cha sauli kumgombeza mwanae kuwa ameitia aibu family kwa urafiki wake na Daud pia Ni gunsmoke
Hamna ushoga hapo, hao walikuwa maadui Jonathan aliside upande wa maadui