Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Sikuhitaji maelezo marefu hivyo.
Bali sikupenda neno "kuwehuka" ulilolitumia. Kama wewe unaona furaha yako ndipo inapopatikana OK,tuachane na hayo ili tusianzishe mada ndani ya mada
 
Hawaogopi mkuu,bali wanakupuuza kwakule kukitia mjuaji wakati huna hoja
 
Sijazungumzia habari za wakwanza kuwa ndio mkweli au sio mkweli,bali wewe umeniuliza ni kitabu kipi ndio cha kweli? maana kila mmoja kati ya hizo imani tatu hudai kitabu chake ndio cha kweli.

Ndiyo nikakwambia kuwa kulikuwa na mitume na mafundisho yao yapo kwenye vitabu,hoja ni yapi yameongezwa,kubadilishwa au kupunguzwa?

Sasa suala la Jews kumkataa Yesu na wakristo kumkataa Muhammad,hili ni suala lengine.
 
Hawaogopi mkuu,bali wanakupuuza kwakule kukitia mjuaji wakati huna hoja
watu kama nyinyi huwa nawapa mistari kama hii
Luke 2
2 In those days Caesar Augustus issued a decree that a census should be taken of the entire Roman world. 2 (This was the first census that took place while[a] Quirinius was governor of Syria.) 3 And everyone went to their own town to register.


4 So Joseph also went up from the town of Nazareth in Galilee to Judea, to Bethlehem the town of David, because he belonged to the house and line of David. 5 He went there to register with Mary, who was pledged to be married to him and was expecting a child. 6 While they were there, the time came for the baby to be born, 7 and she gave birth to her firstborn, a son. She wrapped him in cloths and placed him in a manger, because there was no guest room available for them.

Matthew 2 King James Version (KJV)

2 Now when Jesus was born in Bethlehem of Judaea in the days of Herod the king, behold, there came wise men from the east to Jerusalem,
2 Saying, Where is he that is born King of the Jews? for we have seen his star in the east, and are come to worship him.

niambie yesu alizaliwa lini
na hapo ndipo utajua uwezo wako na wangu kwenye haya mambo ni sawa na usingizi na kifo
 
Unakurupuka.
Tafuta watoto wenzako ushindane nao
 
Lakini huoni hii ina maanisha mmoja kafoji?? Sasa swali linakuja (offcourse inahitaji uzi wake) je nani mkweli na nani muongo??
 
Mkuu nashukuru kwa maelezo yako ila bado nasimamia hoja kwamba Book of jasher kwa standard za ukristo ni kitabu cha kipagani kabisa maana kinakinzana na bible mfano Book of jasher sura ya 80 inasema wamisri walipigwa na mapigo 15 ilihali Biblia inasema mapigo ni 10 pekee je huku kukinzana haukifanyi kuwa kitabu cha kipagani.

Pia jasher 81 inasema bahari iligawanyika mara 12 ilihali Biblia inasema tu kuwa iligawanywa mara mbili waisrael wakavuka...pia inasema

Pia bible inasema musa alikimbilia midian lakini Jasher inasema Musa alikimbilia ethiopia na akawa mfalme

Je huu ukinzano haukifanyi jasher kuwa cha kipagani
 
Lutu alilala na binti yake kwa kupenda mwenyewe!
Whatever ila Daudi alifanya huo unyama hivyo kama aliweza kumlala mke wa mtu alafu akamuua sidhani kama angeshindwa lolote jingine hyo ndio hoja.
 
Kumbe kila kitabu nje ya Biblia ni cha kipagani?? Na kama vitabu ulivyoorodhesha hapo vipo, ungetoa ushahidi kama mfno!
Biblia imequote kitabu cha Henoko na kitabu cha yashari sasa Yashari anasema misri ilipigwa na mapigo 15 sio 10 kama Biblia inavyosema

Pia inasema musa alikimbilia ethiopia na kuwa mfalme na sio huko midian kama biblia inavyodai

Pia inadai pharaoh hakufa kwenye bahari ila aliendelea kuishi ilihali zaburi kwenye biblia inasema pharaoh na jeshi lake waliteketea wote kwenye bahari

Sasa nikuhoji ww je kitabu hiki kukinzana na Biblia nikikiita cha kipagani nakosea?? Na kama sio cha kipagani je unakubaliana nacho ilihali kinaipinga Biblia wakati wote tunajua Mungu hawezi kujipinga mwenyewe

Karibu tueleweshane
 
Naona Mkuu, umechafukwa umeshindwa kujenga hoja, umeamua kurusha Ngumi live live....!!!
 
Bro umeongea uongo au umedanganywa na wewe, Biblia haikuwepo wakati wa Yesu hajawahi kuiona na hajawahi hata kuitamka sijui kama unajua hata neno bible au biblia halipo ndani ya biblia...Yesu alikuja na injili ambayo nayo imepotea kilichopo sasa ni mkisanyiko wa umwaandish ambao hawajulikan walioandika habari walizisikia kwa wamafunz wa Yesu..biblia ya kwanza imepatikana miaka 300 baada Ya Yesu kuondoka neno bible linatokana na neno la kigiriki bublos maana yake kitabu au maktaba sio neno la Mungu huo ndio ukweli wa bible ukienda kuchek kwa mtandao kitabu kinaitwa biblia kimetokana waandish wa bible ya kwanza ambao wagirik na walatin.!
 
unajitoa ufahamu sio!!!!!!!

Until, when he reached the setting of the sun, he found it setting in a spring of dark mud, and he found near it a people. Allah said,
Ngoja nikusiaidie bro usiendelee kupotosha au kupotoka huo mstari unarumiwa sana na watu wanojaribu kuiprove Quran wrong kwenye masuala ya kisayans ila kinachowashinda ni Tafsiri na uzuri wa Quran baso ipo kwa lugha yake ya asili neno Setting lilitumiwa kwa lugha asili limetumika neno Magharib neno hili linamaana ya kutuama,linamaana ya reflection na pia linamaana ya muda nyakati huku tunaita jion..

Kwa bahati nzuri maana zote tatu zinafit kwenye hilo tukio sababu zulkanain wakati anafika eneo lile ilikuwa muda jua kutumuama sehem ile kulikuwa na maji na matope ambalo jua lime reflect eneo lile na ukitazama ni kama linatuama kwenye eneo lile kama hufahamu Quran matukio mengj imeyazungumza kwa lugha ya picha ili ujenge picha ya mazingira halisi yalivyokuwa pili Allah ametumia ambayo sisi tunaizungumza na kuilewa...kwa mfano wana sayansi na watu wengine wa masuala ya hali ya hewa wanatumia lugha Sun set na sun Rise au kiswahili tuseme jua kuchomoza na kuzama je kisayans jua linachomoza na kuzama?? Si tunapata usiku na mchana kwa kuzunguka dunia why tunasema sun rise au syn set?

So kinachowachanganya hapo ni tafsri na pili Allha ametumia Lugha ambayo sisi wanadamu tunailewa na kuitumia kuzama kwa jua na tatu pale ilikiwa inazungumzwa lugha ya picha ili uweze kujenga picha alikiwa eneo linaomekama vip nakusadia kukuwekea picha uone kulichomaanishwa

Hichi ni kitabu kisicho na shaka ndani yake leta hoja nyingine nipo tayari kuzipangua nikipata Muda zipo nyingi watu wanazi rise kwa kupotosha au kweki hawakuelewa nini kulizungumzwa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…