SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Sphere sawa,ni duara mkuu ila mawazo yangu yapo kwenye sphere ya 3D hasa siyo 2D
Sphere sawa,ni duara mkuu ila mawazo yangu yapo kwenye sphere ya 3D hasa siyo 2D
Kwa mujibu wa agano la kale kuna amri inasema usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, Mungu alikuwa anatamkwa sifa zake Muumba au aliye juu ya yote ndio kisa cha kutumwika kwa Yehova. Kws kiibrania ni aliye juu ya yote. Yesu alitengua amri hiyo na alimuita ni Baba yake, na ndio ilihalalisha kubadiri na kumwita Bwana Mungu. Kwa hiyo hakuna ajabu hapa.Kwenye biblia nyingi neno YEHOVA limetolewa kisha wakapandikiza BWANA,MUNGU jaribu kufuatilia.. sijajua maana yakutoa ilo jina ila watakua na maana yao! ila mimi natumia kwa sababu yeye mwenyewe alisema tumwite jina ilo.. na biblia inasema ilo ndio jina lake..
Hadithi ya alfulela ulela.Kijana naona huelewi ,ni hivi wanavyodai,,yehova atatuma masiha kuja kuwakomboa watu wake wanaoteseka utumwani(dhambini),atapokuja masiha,atapigana,hapa lazima vita uwepo,kuuteka jerusalemu ulio mkuu,kisha baada ya ushindi,itapita miaka 1000 ya amani,hakuna kuugua,hakuna njaa,vita etc yaani full amani,
Masiha atalijenga hekalu upya pake jerusalem,,na sasa wanadamu wote watakuja kuabudu dini moja katika jerusalem mpya,huo ndo mwisho wa dunia,
Waovu watatupwa motoni Gehanum(mind you,Gehanum ilikuwa ni dampo la takataka lililokuwa nje ya mji wa jerusalem,ambako always palifuka moshi wa moto usiku na mchana,tokana na moto uliokuwa ukiwaka daima,ukichoma takataka).
Hivyo kwa mujibu wa unabii sasa,watenda dhambi,watatupwa jehanum ili wakachomwe na moto wa milele,ambao hauzimi kamwe,,,
Naona mabishano ni nani anaifahamu biblia vizuri sio about self knowledge zenu.Mkuu nimekuelekeza kua lazma uelewe tupo katika utawa wa shetani ndio maana kuna njaa,vita,magonjwa nk.
Utawala wa mungu(YEHOVA) kunaweza vipi kua na magonjwa,vita
Kumbuka majibu unayopewa yanatoka kwenye biblia..! Usitegemee yatatoka kwenye fikra za binadamu..
Nisaidie nimepitia thread zote sana naona watu wanashindina juu nani amesoma maandiko ya biblia na anayajua sanaaa. Sio self knowldge zao.Swali lako limejibiwa mkuu.
pitia comment za nyuma.
Kumwita baba yako baba sio kwamba hana jina kabisa..Kwa mujibu wa agano la kale kuna amri inasema usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, Mungu alikuwa anatamkwa sifa zake Muumba au aliye juu ya yote ndio kisa cha kutumwika kwa Yehova. Kws kiibrania ni aliye juu ya yote. Yesu alitengua amri hiyo na alimuita ni Baba yake, na ndio ilihalalisha kubadiri na kumwita Bwana Mungu. Kwa hiyo hakuna ajabu hapa.
hujaeleweka.Naona mabishano ni nani anaifahamu biblia vizuri sio about self knowledge zenu.
Hakuna sehemu nimezungumzia kuwa dunia itafika mwisho..Dunia haiwezi kufika mwisho. Bali wewe ndio ndio unafika mwisho. Dunia yako ipo kwa sababu wewe upo. Ukiwa haupo na dunia yako inatoweka.
...pale utakapoona CHUKIZO LA UHARIBIFU lile alilosema Nabii Danieli limesimama PATAKATIFU......Umesahau na ile jinsia moja kufanya mapenzi
Mashahidi wa yehova wamekuharibu_hakuna jipya hapoKumwita baba yako baba sio kwamba hana jina kabisa..
mtu akisema bwana mungu" utajua anamsemea mungu gani?
mtu akikwambia twende tukamwabudu bwana mungu utajua ni mungu gani? sanamu au miungu mingine?
Alisema jina lake ni YEHOVA na lika andikwa kwenye biblia sasa sababu ya kulitoa nakuweka bwana mungu ni ipi?
Wameniaribu kwa kutumia vifungu vya biblia.. ni bora kuliko kusikiliza propaganda za wachungajiMashahidi wa yehova wamekuharibu_hakuna jipya hapo
Walioandikwa kwenye Biblia ni watu kama sisi, they are not super human, more or less than us. Badala ya ku explore our knowdge within us tung'ang'ania maandishi ya Biblia na vitabu vya dini as if one of us alirudi toka kuzimu akatuhakikishia kweli ya maandishi hayo.hujaeleweka.
Ndio maana wajuzi wanasema Binadamu ameruka muujiza mmoja ambao angepaswa kuushangaa sanaa, nao ni Sio muujiza wa uwepo wa Mungu bali angelipaswa kushangaa Uwepo wake yeye. Kwa nini yupo? Iliafanye nini? Jee anatekeleza matarajio ya uwepo wake? Kabla kujiuliza Mungu ni nani? Na matarajio yake kwenye maumbile aliyoyaumba.Hakuna sehemu nimezungumzia kuwa dunia itafika mwisho..
kama wewe ni msomaji mzuri wa biblia ungejua namaanisha nini..
mwisho wa ulimwengu inasimama kama mwisho wa utawala wa shetani.. maana yake mwisho wa ulimwengu wa maovu.
Soma amri kumi za Mungu. Usisome biblia kama Novo, soma in reference with other books. Soma vitabu vya dini zote.Kumwita baba yako baba sio kwamba hana jina kabisa..
mtu akisema bwana mungu" utajua anamsemea mungu gani?
mtu akikwambia twende tukamwabudu bwana mungu utajua ni mungu gani? sanamu au miungu mingine?
Alisema jina lake ni YEHOVA na lika andikwa kwenye biblia sasa sababu ya kulitoa nakuweka bwana mungu ni ipi?
HayaSoma amri kumi za Mungu. Usisome biblia kama Novo, soma in reference with other books. Soma vitabu vya dini zote.
Hakuna jipyaa ni yale yale, waache kutisha watu , sheikh ni yule yule kinachobadilika ni kanzu tusawa mkuu inaonekana hata biblia huwa unasoma hilo ni jambo zuri...
kwa hiyo mkuu unamaanisha mambo yamekuwa hivi tangu zamani hakuna kilichoongezeka wala kupungua mambo ni yaleyale yanajirudiajirudia?
Mwisho upi unaongelewahapo?Maandiko yanasema..muyaonapo hayo mjue ule mwisho umekaribia..hivyo watakatifu endeleeni kujitakasa.