Biblia inasemaje kuhusu mwisho wa ulimwengu

Kijana naona huelewi ,ni hivi wanavyodai,,yehova atatuma masiha kuja kuwakomboa watu wake wanaoteseka utumwani(dhambini),atapokuja masiha,atapigana,hapa lazima vita uwepo,kuuteka jerusalemu ulio mkuu,kisha baada ya ushindi,itapita miaka 1000 ya amani,hakuna kuugua,hakuna njaa,vita etc yaani full amani,
Masiha atalijenga hekalu upya pake jerusalem,,na sasa wanadamu wote watakuja kuabudu dini moja katika jerusalem mpya,huo ndo mwisho wa dunia,
Waovu watatupwa motoni Gehanum(mind you,Gehanum ilikuwa ni dampo la takataka lililokuwa nje ya mji wa jerusalem,ambako always palifuka moshi wa moto usiku na mchana,tokana na moto uliokuwa ukiwaka daima,ukichoma takataka).
Hivyo kwa mujibu wa unabii sasa,watenda dhambi,watatupwa jehanum ili wakachomwe na moto wa milele,ambao hauzimi kamwe,,,
Hivi itawezekana wanaadam wasavive miaka elfu bila ya vita, njaa etc. Hivi hufikiri kuwa haya mambo ndio yanayoifanya hii human race kuwa imara? Hivi unahisi taifa bila ya uhalifu na wahalifu linaweza kubaki?
 
Mkuu ni wapi Biblia imesema watenda dhambi watatupwa motoni?
mnakosea `YEHOVA" heshima na kumfanya aonekane katili..
 
Hivi itawezekana wanaadam wasavive miaka elfu bila ya vita, njaa etc. Hivi hufikiri kuwa haya mambo ndio yanayoifanya hii human race kuwa imara? Hivi unahisi taifa bila ya uhalifu na wahalifu linaweza kubaki?
Mkuu nimekuelekeza kua lazma uelewe tupo katika utawa wa shetani ndio maana kuna njaa,vita,magonjwa nk.
Utawala wa mungu(YEHOVA) kunaweza vipi kua na magonjwa,vita

Kumbuka majibu unayopewa yanatoka kwenye biblia..! Usitegemee yatatoka kwenye fikra za binadamu..
 
Kwani nani alikwambia dunia itaharibiwa? Biblia inasema Yehova hata iharibu dunia kwa moto au maji tena! napia hakuna kitu chochote kitacho iharibu dunia..
Namaanisha ipo vilevile kama ilivyo, hayo ya kuharibiwa umezua wewe

Wewe unatutabiria mwisho kama vile uliwahi kuishi hapo mwanzo_kana kwamba siku zilizopita zilikuwa bora kuliko hizi kwamba watu hawakuwa wanafanya yanayofanyika sasa

Ndio nakushangaa hapa una uhakika gani..?
 
Soma kichwa cha thread kisha angalia unavyo ni hukumu bure mkuu..

Haya yaliyo andikwa yametoka kwenye biblia sio kichwani kwangu..

kwahiyo futa mawazo ya kusema na watabiria..kwasababu mimi sio nabii!

hayo yaliandikwa zaidi ya miaka 1000 iliyo pita.. na pia kuiamini biblia sio chaguo langu ni maamuzi yako mwenyewe..!
 
Kwahiyo watatupwa wapi?
Mhubiri 9.6 tukifa hatuwezi kuona,kusikia wala kufikiri.. kama wafu hawajui lolote kuna haja gani ya kumtesa mfu kwenye moto wakati unajua hajui lolote?

Yohana 4:8 soma hii.

Propaganda za kuzusha ukitenda dhambi unaenda kwenye moto zina mshushia YEHOVA heshima na kumfanya aonekane katili.

Jitahidini sana kusoma sio kusikiliza tu.!
 
Soma kichwa cha thread kisha angalia unavyo ni hukumu bure mkuu..

Haya yaliyo andikwa yametoka kwenye biblia sio kichwani kwangu..

kwahiyo futa mawazo ya kusema na watabiria..kwasababu mimi sio nabii!

hayo yaliandikwa zaidi ya miaka 1000 iliyo pita.. na pia kuiamini biblia sio chaguo langu ni maamuzi yako mwenyewe..!
Kwani mimi niliposema sodoma na gomora walinyukana nilitoa kichwani kwangu.?
 
Back
Top Bottom