Biblia inasemaje kuhusu mwisho wa ulimwengu

Naomba tafadhali
Zipo nyingi sana...Karibia Agano jipya kila kitabu..lakini mfano mmoja huu hapa kutoka kwa yesu mwenyewe..(from the horses mouth)

(Marko 13:1-2; Luka 21:5-6)

1Yesu alitoka hekaluni, na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonesha majengo ya hekalu. 2Yesu akawaambia, “Sawa, mnaweza kuyatazama haya yote! Kweli nawaambieni, hakuna hata jiwe moja litakalosalia hapa juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa.”

Taabu na mateso

3Yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa Mizeituni, wanafunzi walimwendea faraghani, wakamwuliza, “Tuambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonesha kuja kwako na mwisho wa nyakati?” 4Yesu akawajibu, “Jihadharini msije mkadanganywa na mtu. 5Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi. 6Mtasikia juu ya vita na fununu za vita; lakini msifadhaike, maana hayo hayana budi kutokea, lakini mwisho wenyewe ungali bado. 7Taifa moja litapigana na taifa lingine; ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine. Hapa na pale patakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi. 8Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.

9“Kisha watawatoeni ili mteswe na kuuawa. Mataifa yote yatawachukieni kwa sababu ya jina langu. 10Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana. 11Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha watu wengi. 12Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia. 13Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa. 14Ila, kabla ya mwisho kufika, hii Habari Njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa ulimwenguni kote kama ushuhuda kwa mataifa yote.

Dhiki kuu

15“Basi, mtakapoona ‘Chukizo Haribifu lililonenwa na nabii Danieli limesimama mahali patakatifu, (msomaji na atambue maana yake), 16hapo, walioko Yudea na wakimbilie milimani. 17Aliye juu ya paa la nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake. 18Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake. 19Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo! 20Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au siku ya Sabato! 21Maana wakati huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa ulimwengu mpaka leo, wala haitapata kutokea tena. 22Kama siku hizo hazingalipunguzwa, hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka; lakini siku hizo zitapunguzwa kwa ajili ya wale walioteuliwa.

23“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki. 24Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu. 25Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati. 26Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki; 27maana, kama vile umeme uangazavyo toka mashariki hadi magharibi, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Mtu. 28Pale ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.

Kuja kwake Mwana wa Adam

29“Mara baada ya dhiki ya siku hizo, jua litatiwa giza, mwezi hautaangaza, nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa. 30Kisha, ishara ya Mwana wa Mtu itaonekana angani, na hapo makabila yote duniani yatalalamika; watamwona Mwana wa Adam akija juu ya mawingu ya angani mwenye nguvu na utukufu mwingi. 31Naye atawatuma malaika wake wenye tarumbeta la kuvuma sana, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, toka mwisho huu wa mbingu hadi mwisho huu
 
Shukrani mkuu nipo hapa namsubiri
 
Kumbe wewe ni Mshahidi wa Yehova, utawala wa shetani utaanza lini na kufika kikomo lini?
Utawala wa shetani ulianza tangu kipindi cha adamu,kaini na mpaka sasa tupo chini yake..

utawala huo utakomeshwa pindi yesu atakapo kuja duniani.. na hizo ndio ishara za kuja kwake..

nb. kwanini umesema mimi ni shahidi wa yehova mkuu!
 
Nimeona umetumia neno Yehova na pia huwa wanapenda kuzungumzia zaidi habari ya nyakati za mwisho
 
Kwenye biblia nyingi neno YEHOVA limetolewa kisha wakapandikiza BWANA,MUNGU jaribu kufuatilia.. sijajua maana yakutoa ilo jina ila watakua na maana yao! ila mimi natumia kwa sababu yeye mwenyewe alisema tumwite jina ilo.. na biblia inasema ilo ndio jina lake..
 
Wazee wa kiyahudi walikuwa na fantasy za ajabu sana..lakini inaeleweka,walichukuliwa kwenda babel na walikumbuka nyumbani sana,,wakaanza ku hallucinate..
 
Mbona sodoma na gomora walinyukana na dunia bado ipo.!?
Kwani nani alikwambia dunia itaharibiwa? Biblia inasema Yehova hata iharibu dunia kwa moto au maji tena! napia hakuna kitu chochote kitacho iharibu dunia..
 
Sasa YEHOVA anahaja gani ya kuimaliza dunia wakati tutabakia hapa hapa baada ya utawala wa shetani?
Kijana naona huelewi ,ni hivi wanavyodai,,yehova atatuma masiha kuja kuwakomboa watu wake wanaoteseka utumwani(dhambini),atapokuja masiha,atapigana,hapa lazima vita uwepo,kuuteka jerusalemu ulio mkuu,kisha baada ya ushindi,itapita miaka 1000 ya amani,hakuna kuugua,hakuna njaa,vita etc yaani full amani,
Masiha atalijenga hekalu upya pake jerusalem,,na sasa wanadamu wote watakuja kuabudu dini moja katika jerusalem mpya,huo ndo mwisho wa dunia,
Waovu watatupwa motoni Gehanum(mind you,Gehanum ilikuwa ni dampo la takataka lililokuwa nje ya mji wa jerusalem,ambako always palifuka moshi wa moto usiku na mchana,tokana na moto uliokuwa ukiwaka daima,ukichoma takataka).
Hivyo kwa mujibu wa unabii sasa,watenda dhambi,watatupwa jehanum ili wakachomwe na moto wa milele,ambao hauzimi kamwe,,,
 
Back
Top Bottom