Biblia inasemaje kuhusu mwisho wa ulimwengu

Luther samwel

Member
May 20, 2020
77
125
Biblia inatuambia hii ndiyo ishara ya mwisho wa ulimwengu.

Watu kujali pesa na kujipenda wenyewe.

Yataibuka Magonjwa ya kuenea
Njaa, Vita baina ya mataifa pamoja uhalifu kushamiri

watu watampinga Mungu..Hadharani

Watoto hawatowatii tena wazazi wao.

Wataibuka manabii wengi wauongo..na watatenda miujiza mingi.kwa kutumia jina la yesu

na mengine mengi katika ufunuo,mathayo.nk

Na haya hayana budi kutokea..
uzi umekidhi vigezo vya msingi vya kimataifa kutumiwa na wenye akili
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
4,375
2,000
Biblia inatuambia hii ndiyo ishara ya mwisho wa ulimwengu.

Watu kujali pesa na kujipenda wenyewe.

Yataibuka Magonjwa ya kuenea
Njaa, Vita baina ya mataifa pamoja uhalifu kushamiri

watu watampinga Mungu..Hadharani

Watoto hawatowatii tena wazazi wao.

Wataibuka manabii wengi wauongo..na watatenda miujiza mingi.kwa kutumia jina la yesu

na mengine mengi katika ufunuo,mathayo.nk

Na haya hayana budi kutokea..
Huu ni uwongo wa mchana kweupee, Biblia inajichanganya
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
4,375
2,000
wewe ndio unajichanganya.!

lete uthibitisho kwamba biblia inajichanganya..!
Hayo ulioyataja hapo kama Ishara za mwisho wa dunia yalishatokea kitambo sana ata kabla ya huyo Yesu mwenyewe ajakuja duniani, wala wakina mathayo hawapo, Vita watu walipigana kweli kweli, njaa watu walipata kali mpaka nyama za watoto watu wakala, n.k sasa iweje vikijirudia eti iwe mwisho wa dunia, Biblia inasahau kwa haraka
 
chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,096
2,000
Umesahau na ile jinsia moja kufanya mapenzi
Jinsia moja kupigana miti au kurambana,imeanza Sodomo na Gomoro..

Hiyo sio ishara ya Kiama..

Ishara kubwa ya mwisho wa Dunia,ni kurudi kwa Yesu na kuwakataa wale wote waliomsingizia kuwa yeye ni
Mungu nk..

Hii ishara imeelezwa katika Biblia na Quran

Matayo 7:21-27
 
Comrade boy

JF-Expert Member
Oct 31, 2020
791
1,000
Hayo ulioyataja hapo kama Ishara za mwisho wa dunia yalishatokea kitambo sana ata kabla ya huyo Yesu mwenyewe ajakuja duniani, wala wakina mathayo hawapo, Vita watu walipigana kweli kweli, njaa watu walipata kali mpaka nyama za watoto watu wakala, n.k sasa iweje vikijirudia eti iwe mwisho wa dunia, Biblia inasahau kwa haraka
Hata yesu alitabiriwa kuja kwake na kufa kwake..
kuhusu miaka.. hata nuhu walimbeza kwasababu miaka mingi ilipita bila gharika..na kurudi tena kwa yesu mpaka hayo mambo yote yatimie..kwa vile hatujui siku wala saa..
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
4,375
2,000
Hata yesu alitabiriwa kuja kwake na kufa kwake..
kuhusu miaka.. hata nuhu walimbeza kwasababu miaka mingi ilipita bila gharika..na kurudi tena kwa yesu mpaka hayo mambo yote yatimie..kwa vile hatujui siku wala saa..
Usikimbie kimbie hoja yangu hayo matukio yalishatokea nyuma mengi sana iweje kujirudia kwake iwe ajabuu mpaka mseme ndio dalili dunia imefika mwisho? kuhusu utabiri wa Yesu ni jambo ambalo halikutokea mpaka alipozaliwa kweli, sasa vip ifanane na hoja yangu ya matukio kujirudia! !!
 
Comrade boy

JF-Expert Member
Oct 31, 2020
791
1,000
Usikimbie kimbie hoja yangu hayo matukio yalishatokea nyuma mengi sana iweje kujirudia kwake iwe ajabuu mpaka mseme ndio dalili dunia imefika mwisho? kuhusu utabiri wa Yesu ni jambo ambalo halikutokea mpaka alipozaliwa kweli, sasa vip ifanane na hoja yangu ya matukio kujirudia! !!
Hoja gani nimekimbia?

Pia kwanini usemee vitu kabla ya kuchunguza..! unajua utabiri wa yesu ulitokea kipindi gani..?

unaweza kusema chakula kina ladha mbaya bila ya kuonja?

Usipende kukosoa kitu kabla ya kuchunguza utaonekana mjinga..!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom