Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,626
Pastor wa kitaa asituzingue. Atupe vifungu vya Biblia asitumie uelewa wake. Atuambie ni wapi Biblia ilipolazimisha kuwa na mke mmoja tu na Ibrahimu baba wa imani alikuwa na wake wangapi. Hapajapata kutoea mwenye hekima na busara kama Solomon, atuambie alikuwa na wake wangapi? Alikuwa na makahaba wangapi? Mfalme Daudi alikuwa na wake wangapi na bado akagonga mke wa Uria? Je sisi ni werevu zaidi kuliko watu hao waliokuwa wamechaguliwa na wanaongea na Mungu?