MWANZO MGUMU JAMANI MSIONE MASIHARA MWANZO MGUMUUUU SANAA. USIPOACHA MWANZO HUACHI TENAAAA.
Thanks for the feedback, sawa quality ya audio ni ndogo nitafanyia hilo kazi. Sauti ndugu zangu ndo alionipa Mungu, hatuna namna zaidi ya kunivumilia tu.
ALL IN ALL MAMBO BADO MAGUMUUUU. Mwanga hauonekani. Ila nashukuru views ziko poa, wengine sababu tunajuana wote watu wazima mnanionea aibu tu kuniambia mambo si mambo. Ila nawaahidi msinikatie tamaa. Najifunza the hard way.
I thought i could do anything, perhaps not, perharps natakiwa kuumiza kichwa zaidi na zaidi NITOKE VIPIIII. All in all ill keep trying herder and harder. Hata story 2 za mwanzo kabisaa mimi kuandika zilikuwa TOTAL FLOP i gave up, then mwaka unaofata nikaanza tena and mnajua nini kilifata.
Nawapenda sanaa, Hallelujah!.