Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 12,325
- 38,200
BIBI HATARI WA KUPINGA
Bibi alienda benk, akataka aonane na meneja.
MENEJA:unashida gani bibi?
BIBI:nataka kufungua akaunti niweke milioni 30
zangu ss hivi.
MENEJA:mh! Pesa zote umezipata wapi?
BIBI: Nimezipata kwenye mchezo wa KUPINGA,
hata wewe ukitaka tunaweza pinga tu!
MENEJA: Mmh! Tunapingaje?
BIBI: Aah!,rahisi sana, naweka hizi milion 30
zangu
na ww weka hizohizo, mpk kesho saa nne asubuhi
sehemu zako za siri zitayeyuka.
Zisipo yeyuka
umenila, zikiyeyuka nimekula
MENEJA: Mmh! Sawa bibi hamna
shida..
.Wakaweka.
Kesho yake asubuhi yule bibi akaenda na mzee
mwingine pale benki
.meneja alivyomuona bibi
akasema
MENEJA: Bibi umeliwa! Sehemu za siri zipo
BIBI: Sawa ss mm nitaaminiji bila kuzishika?
MENEJA:njoo tu uhakikishe bibi...bibi akaenda na
kuanza kumshika yule meneja nyeti zake..
.Wakati
anamshika vile yule mzee aliyekujanae akawa
ameshika kichwa huku mashozi yakiwa
yanamlenga.
Meneja akamuuliza bibi
MENEJA: Vp mbona yule mzee uliyekuja naye
kawa vile?
BIBI: Aah! Yule nilipinga naye kwa milion 90 kuwa
naweza kumshika meneja wa benki hii sehemu
zake za siri akabisha ndipo nikapinga nae 'sasa
ndio kashaliwa pale anakuna kichwaaaaa!
''SHAMBA KILIMO, MJINI AKILI"