tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,831
- 25,117
Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi.
MAONI YANGU
Kama kweli hizo maiti ziliteketezwa kwenye tanuru la sementi badala ya kuwapa ndugu wawazike wapendwa wao, hili ni jambo la kinyama sana. Haijawahi kutokea ktk historia ya nchi hii. Sijawahi kushuhudia uovu wa namna hiyo aslani. Ikiwa majivu ya miili iliyoteketezwa yanaweza kupatikana, nashauri ndugu wapewe wakazike.
Wakati watu wanatafuta miili ya ndugu zao wazike kumbe miili hiyo tayari ilishateketezwa! Anasema maiti nyingi zilizochukuliwa kwenye hospitali za Dar zilichomwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi Wazo Hill. Hii ni mbaya sana.MAONI YANGU