Mjasiri na Mali JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 5,365 Reaction score 14,182 Feb 2, 2018 #21 We jamaa kwa uchawi hufai Kwa hiyo hii stori ulihifadhi kichwani au kwenye maandishi
Freesociety JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 1,077 Reaction score 1,041 Feb 2, 2018 #22 Mlikutana wakubwa watupu.
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,630 Feb 2, 2018 #23 Bibi tina awamu ya pili inasubiriwa... Mkojo wa janaba ndio upi?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Feb 2, 2018 #24 2hery said: Bibi tina awamu ya pili inasubiriwa... Mkojo wa janaba ndio upi? Click to expand... una rangi nyeusi
2hery said: Bibi tina awamu ya pili inasubiriwa... Mkojo wa janaba ndio upi? Click to expand... una rangi nyeusi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,777 Feb 2, 2018 Thread starter #25 Nokia83 said: Sawa Babu Tina Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,777 Feb 2, 2018 Thread starter #26 Midumare Ngatuni Iwato said: Mhmm mshana mtani wangu kwanini awakumpleka kwa kopa kituo cha polisi mpaka ostrebey jamani Mtani wangu mshana Click to expand... Nyumba ilikuwa njia ya kwenda mahakamani na inategemea na unamfahamu nanii
Midumare Ngatuni Iwato said: Mhmm mshana mtani wangu kwanini awakumpleka kwa kopa kituo cha polisi mpaka ostrebey jamani Mtani wangu mshana Click to expand... Nyumba ilikuwa njia ya kwenda mahakamani na inategemea na unamfahamu nanii
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,777 Feb 2, 2018 Thread starter #27 namvumi king said: Babu Tina endeleza story Click to expand... Nyoo..! Nitajibu maswali yote nikimaliza
namvumi king said: Babu Tina endeleza story Click to expand... Nyoo..! Nitajibu maswali yote nikimaliza
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,199 Reaction score 15,943 Feb 2, 2018 #28 mshana utakuwa mkubwa kinoma.... miaka ya 2000 to 2001 upo unajitegemea ushapanga na chumba .... i bet upo kwenye 35-45 🙁
mshana utakuwa mkubwa kinoma.... miaka ya 2000 to 2001 upo unajitegemea ushapanga na chumba .... i bet upo kwenye 35-45 🙁
FREE LUNCH JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 495 Reaction score 334 Feb 2, 2018 #29 Saint Ivuga said: Najua uchawi upo ila sijawahi kuuamini. Na naupuuza kabisa Click to expand... Mkuu Saint Ivuga, Naamini uchawi upo. Yakikukuta utaamini. I experienced such a phenomenon.
Saint Ivuga said: Najua uchawi upo ila sijawahi kuuamini. Na naupuuza kabisa Click to expand... Mkuu Saint Ivuga, Naamini uchawi upo. Yakikukuta utaamini. I experienced such a phenomenon.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Feb 2, 2018 #30 FREE LUNCH said: Mkuu Saint Ivuga, Naamini uchawi upo. Yakikukuta utaamini. I experienced such a phenomenon. Click to expand... Naamini upo. Ila nina uhakika hayawezi kunikuta. Mamabo mengine ukiyaendekeza nayo yatakuandama sana
FREE LUNCH said: Mkuu Saint Ivuga, Naamini uchawi upo. Yakikukuta utaamini. I experienced such a phenomenon. Click to expand... Naamini upo. Ila nina uhakika hayawezi kunikuta. Mamabo mengine ukiyaendekeza nayo yatakuandama sana
FREE LUNCH JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 495 Reaction score 334 Feb 2, 2018 #31 Saint Ivuga said: Naamini upo. Ila nina uhakika hayawezi kunikuta. Mamabo mengine ukiyaendekeza nayo yatakuandama sana Click to expand... Ni kweli ukiyaendekeza lakini kuna time unaweza kuwa uko umerelax kabisa, ghafla unakutana nayo. Mpaka uanze kuakumbuka verse za vitabu viTakatifu...
Saint Ivuga said: Naamini upo. Ila nina uhakika hayawezi kunikuta. Mamabo mengine ukiyaendekeza nayo yatakuandama sana Click to expand... Ni kweli ukiyaendekeza lakini kuna time unaweza kuwa uko umerelax kabisa, ghafla unakutana nayo. Mpaka uanze kuakumbuka verse za vitabu viTakatifu...
kenzi JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 425 Reaction score 462 Feb 2, 2018 #32 mshana jr said: Nyoo..! Nitajibu maswali yote nikimaliza Click to expand... Mkojo wa janaba ni nini?
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,578 Reaction score 1,817 Feb 2, 2018 #33 Mshana jr unajua nime subscriber fanya mambo malizia hii nyuzi niondoke zangu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,777 Feb 2, 2018 Thread starter #34 kenzi said: Mkojo wa janaba ni nini? Click to expand... Unafanya matusi halafu huogi
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 Feb 2, 2018 #35 Moto moto
kenzi JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 425 Reaction score 462 Feb 2, 2018 #36 mshana jr said: Unafanya matusi halafu huogi Click to expand... Ok sio mkojo mkubwa. Ila ni mkojo wa kawaida baada ya tendo ila kabla hujaoga?? Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
mshana jr said: Unafanya matusi halafu huogi Click to expand... Ok sio mkojo mkubwa. Ila ni mkojo wa kawaida baada ya tendo ila kabla hujaoga?? Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 Feb 2, 2018 #37 mshana jr said: Nyumba ilikuwa njia ya kwenda mahakamani na inategemea na unamfahamu nanii Click to expand... Endelea basi au unatafuta kwanza mkojo wa janaba tena?
mshana jr said: Nyumba ilikuwa njia ya kwenda mahakamani na inategemea na unamfahamu nanii Click to expand... Endelea basi au unatafuta kwanza mkojo wa janaba tena?
emt45 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2017 Posts 564 Reaction score 644 Feb 2, 2018 #38 Hahhaaaa uko wapi rose na sista tedy . ila tuamini sana visakramenti haswa maji ya baraka Jana nilimuamisha mtu wangu wa nguvu ktk nyumba yake
Hahhaaaa uko wapi rose na sista tedy . ila tuamini sana visakramenti haswa maji ya baraka Jana nilimuamisha mtu wangu wa nguvu ktk nyumba yake
Z ZE NDINDINDI JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 1,885 Reaction score 4,013 Feb 2, 2018 #39 ah mshana we jamaaaa ,duuuh
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,777 Feb 2, 2018 Thread starter #40 kenzi said: Ok sio mkojo mkubwa. Ila ni mkojo wa kawaida baada ya tendo ila kabla hujaoga?? Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app Click to expand... Ndio
kenzi said: Ok sio mkojo mkubwa. Ila ni mkojo wa kawaida baada ya tendo ila kabla hujaoga?? Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app Click to expand... Ndio