mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,000
- 219
ni kweli na mpaka sasa kabibi kamewekwa mtu kati......hivi haya mambo ni kweli yapo????
Nimeona post mbili....itakuwa kweliJamani....una uhakika au ndio kazi ya redio mbao za mtaani??
Nimeona post mbili....itakuwa kweli
Kanumba msanii, kifo chake cha kisanii, msiba wake usanii, na mzishi yatakuwa ya kisanii! fani zingine mmh!!