Bibi mchawi adondoka na ungo kwenye msiba wa kanumba

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
ni kweli na mpaka sasa kabibi kamewekwa mtu kati......hivi haya mambo ni kweli yapo????
 
....wana JF mlio apo vatcan tupeni habari za ukweli.......

....cye tuko mkoa....twawategemea nyie....
 
Kanumba msanii, kifo chake cha kisanii, msiba wake usanii, na mzishi yatakuwa ya kisanii! fani zingine mmh!!
 
Hata mimi kuna mtu kanipigia eti yupo msibani kuna Mchawi kaanguka,hajanipa story kamili kaniambia nisubiri.
Mi naingia kulala
 
Back
Top Bottom