Bibi kizee wa miaka 90 ameniumiza kichwaa!!!!!

Bibi kizee wa miaka 90 ameniumiza kichwaa!!!!!

Adam waTZ

Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
83
Reaction score
9
Ni baada ya kumkuta bibi huyo wa miaka 90 anaangalia X(film ya ngono) sebureni halafu nilikuwa na mgeni wa heshima kumuuliza kwanini hivyo eti anajibu kijana ukome wakati wako sio hua dahhhh!!! Kichwa kinauma kwa kuwaza kuhusu huyo bibi na jibu sipati.
 
sasa na wewe kuwanazo nyumbani kwako halafu huziweki mahali pasiri huoni hilo ni tatizo?
 
Back
Top Bottom