Bibi kizee na ziraili

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,571
2,068
Bibi kizee kasikia Ziraili anatoa roho vizee zaidi...:Bibi kwa kuogopa kufa akaamua ajifanye mtoto mdogo. Akaanza kusema kitoto na kula vyakula vya watoto. Siku moja alipokuwa anakula CERELAC, ZIRAILI Akamjia 'Unafanya nini bibi kizee? Akajibu NATULA CHELELAK' .ZIRAILI naye akamjibu kitoto, HAYA TULA UPECHI UPECHI ALAFU TWENDE TATAAA.
 
Ziraili noma, yaani utadhani Bujibuji

Ugali mtamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom