BiBi kIzEe mAhAkAmAnI!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BiBi kIzEe mAhAkAmAnI!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by bampami, Jun 24, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  HAKIMU: Bibi, hebu ieleze
  mahakama kilichotokea.
  BIBI: Nilikuwa nimelala
  nyumbani kwangu usiku wa
  manane,mlango unavunjwa na
  anaingia huyu kijana, aliyesimama pale.
  HAKIMU: Endelea, Bibi.
  BIBI: Si, akanivua nguo zote na
  kunipanda.
  HAKIMU: Enhee!
  BIBI: Akawa anakata kushoto, mimi kulia. Alidhani
  mimi siyawezi!
  HAKIMU: Enhee!
  BIBI: Kila akikata, na mimi
  najibu! akikata na mimi
  nimo,hadi raha HAKIMU: Haaa!sasa tatizo
  lililokuleta hapa mahakamani
  ni nini?
  BIBI: Atengeneze ule mlango
  aliouvunja!
   
 2. MC babuu

  MC babuu Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahah we jamaa ni atar sana
   
 3. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ha haaaaaaaa
  we mkare
   
Loading...