Bibi kizee ahamia CHADEMA

Bibi kizee ahamia CHADEMA

393152_168393706660280_221615180_n.jpg




BIBI AMEAMIA CHADEMA
BAADA YA KUAMBIWA KUWA CCM NI YA FAMILIA ZIFUATAZO
1.LOWASSA
2.MKAPA
3.KINANA
... 4.CHENGE
5.MWINYI
6.KARUME
7.ROSTAM
8.SITTA
9.MRAMBA
BIBI ALIPOGUNDUA FAMILIA YAKE HAIPO, NIKAMWAMBIA HAWAKUJUI
HIVYO TUSIO CCM WOTE TUKO CHADEMA,
BIBI ALITUPA KILEMBA CHA CCM NAKUOMBA SKAFU NILIYOKUWA NIMEVAA NA KUMPA
UKOMBOZI NI SASA

Source: Mimi mwenyewe

Kumbe kadanganywa! Siku akigundua kwamba Mwanzilishi wa CHADEMA ni mzee Mtei ambaye ni Baba Mkwe wa Mwenyekiti wa CHADEMA atahama tena kurudi CCM ama ataenda NCCR ama kwingineko na ataichukia CHADEMA yeye pamoja na wajukuu zake.
 
393152_168393706660280_221615180_n.jpg




BIBI AMEAMIA CHADEMA
BAADA YA KUAMBIWA KUWA CCM NI YA FAMILIA ZIFUATAZO
1.LOWASSA
2.MKAPA
3.KINANA
... 4.CHENGE
5.MWINYI
6.KARUME
7.ROSTAM
8.SITTA
9.MRAMBA
BIBI ALIPOGUNDUA FAMILIA YAKE HAIPO, NIKAMWAMBIA HAWAKUJUI
HIVYO TUSIO CCM WOTE TUKO CHADEMA,
BIBI ALITUPA KILEMBA CHA CCM NAKUOMBA SKAFU NILIYOKUWA NIMEVAA NA KUMPA
UKOMBOZI NI SASA

Source: Mimi mwenyewe

Isije ikawa bibi alikuwa anahitaji kilemba kipya na akajua kuwa akitupa alichovaa na kusema ukombozi ni sasa atakuwa amepata kiwalo kipya. Ungemuuliza rais wa nchi hii ni nani angekujibu ni Nyerere.
 
hata anavyoonekana bado hajaamini !!!!.....na hapo hujamgusia kuhusu Tembo aliechongwa kule KLM kana kwamba hili Taifa nila ibilisi

Mkuu hebu dadavua zaidi hiyo ya tembo wa kuchongwa..
 
watu kwa kufanya wenzio sanamu za kupigia picha ili wapate sifa?? hii ni dhambi mkuu..
Mkuu avatar yako inasababisha nizime laptop; mjukuu wangu akiiona analia sana anasema unataka kummeza. Basi angalau toa hoja za mshiko.
 
Acheni kuwatumia watu kwa maslahi yenu,bibi anaonekana kabisa kama amedata,unamvisha skafu halafu unasema amehamia cdm.

Kwa mtindo huu mbona watanzania wengi wamedata na CDM,mmebaki wezi,majangili na mafisadi wachache kama wewe'
 
BABU asije akamjosephine...chonde chonde maana we ni bingwa wa kubilisi ndoa za watu...
 
Huu ni utoto wa hali juu kupiga picha na bibi yako huku umemvalisha skafu yako halafu unaupload picha Jf eti bibi kahamia cdm sasa ndio nini?
 
Acheni kuwatumia watu kwa maslahi yenu,bibi anaonekana kabisa kama amedata,unamvisha skafu halafu unasema amehamia cdm.
Ama kweli masisiem mmevimbiwa kama lukuvi na kinana aka weka mbali na tembo,huu ufukara mliousababisha kwa watu wamechakaa leo hii mnasema amedata???Laana hii haitawaacha kamwe!!!
 
Hahahahahaaaaaaaa! Akisikia tena kwamba Tanzania ni muungano Tanganyika na Zimbabwe ndo kabisaaaaaaaaa atahamishia familia yake kwa makamanda wetu; hongera sana kwa sera zako za kiukombozi, Where there is no way, God will make a way!!
 
Wee bibi humuogopi BABU? Tabia yake mbaya anapora wake wa watu usije ukawa mke wa pili wa BABU!!!! Ukimwona BABU kimbia usiangalie nyuma bibi yetu maana BABU hana simile...

Napenda jinsi CDM inavyojitangaza kwa njia sahihi bila kutumia matusi,kashfa n.k. Nadhani umaarufu huku mikoani umeongezeka maradufu kwa sababu ya weledi wa viongozi wao,
 
Sisi tulimhamisha bibi toka gamba kwenda gwanda siku mgao wa umeme ulivyokuwa umeshika hatamu kwa kumwambia hatazami video ya makhirikhiri aipendayo kwa kuwa magamba yameshindwa kutoa umeme wa uhakika. Rahisi kama hivyo.
 
Na CHADEMA Atahama akiambiwa kuwa chama ni cha MTEI, MBOWE,SLAA na MCHUMBA WAKE etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom