Bibi kizee ahamia CHADEMA

Bibi kizee ahamia CHADEMA

Duh! hii ni sawa na kumchukua mtu msukule! ataingiaje Chadema bila ya kuelezwa sera za Chama? pili umemtapeli Bibi kizee wa watu maana Chadema pia ni familia ya Ba mkwe Mtei, mkwewe Mbowe, Ndesamburo, Mwanae ndesa mbunge wa kuteuliwa, mke wake, Slaa, mchumba ake, eks wife wake, wengine wataongezea hapa......!

weita Lete KINANA BARIIIIIDIIII nijipongeze kwa kumpata kamanda mpya bibi yetu.
 
Yangu ni bendera ya Tanganyika, niliyoshuhudia ikipandishwa 1960 lakini kwa sasa serikali ya CCM haiitambua na wala haitaki kuisikia

Mda umeenda sana mkuu, amka toka usingizini, hatuna tena Tanganyika tuna Tanzania, na tunaelekea kuwa na dola ya afrika mashariki then ya Afrika, omba Mungu uone pia na ya Afrika ikipandishwa, ikishindikana tutakuja kukusimulia
 
Poa ngoja tuombe uzima tuyaone hayo
 
Yangu ni bendera ya Tanganyika, niliyoshuhudia ikipandishwa 1960 lakini kwa sasa serikali ya CCM haiitambua na wala haitaki kuisikia
Wacha uongo. Bendera imepandishwa baba yako akiwa na miaka mitatu.
 
Teh teh kwi kwi kwi (KINANAA BARIDIIIII) NDOVU BARIDIIIII

JF amahakika ni mwanzo mwisho wa lugha.
 
Ccm ni pango la wanyang'anyi wameifanya nchi ya nyerere kuwa soko! Tuwapindue maana hata kristo alipofika jerusalem alipindua biashara za uzandiki kama za ccm
 
bibi kathibitisha ya kuwa wazee sasa wameanza kusoma alama za nyakati kwani ccm walikuwa wanaamini ya kuwa wazee wote hapa nchini ni ccm dalili hii ni alama tosha kuwa ccm inaelekea kibla sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom