Bibi Kanikataza!

Bibi Kanikataza!

Kwa hiyo wewe uliona ufate akili ya mpenzi wako ujipinde ili kumkomoa mwanamme mwenzio? Unasahau kua ipo siku na wewe utakua baba na utakumbana na mashaka hayo?
 
Aisee mmezidi nyie watu!

Ila hata mimi nitalipizia tu siku moja..ngoja nipate inspiration nzuri nije kuwasimulia kisa changu hapa..Kitaanza 01/01/2014 hadi 31/12/2014 mtalia nawaambia!!!!!

Haha haaaaaa....Mento bwana!! Haya tunasubiri
 
......mke wangu aliniambia kuwa yote hayo ni kwa sababu bibi alinikataza kuwa na b'ze baba alijiua. lkn mimi kiukweli bado nampenda mke wangu na nimembeleza sana.

Itaendelea siku yoyote! teh teh teh.

Ukiona huwezi simulia hadi mwisho bora usubiri kuwa na huo uwezo.
Ukimaliza ni-pm nikupe ushauri
 
haya tabiri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom